Naibu Waziri Mwita Waitara akagua kazi za ujenzi mkoani Mara

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Leo amekagua sehemu mbali mbali mkoani Mara ambazo zinafanyiwa ukarabati baada ya kuharibika sababu ya Mvua.

Huyu ndie jembe aliesambaratisha iliyokuwa ngome ya Chadema Tarime. Bigup Waitara piga kazi
 
Huyu mlevi mbwa alikuwa analewa kule Banana hadi anajikojolea. Mwendazake alituharibia sana nchi yetu
 
Leo amekagua sehemu mbali mbali mkoani Mara ambazo zinafanyiwa ukarabati baada ya kuharibika sababu ya Mvua.

Huyu ndie jembe aliesambaratisha iliyokuwa ngome ya Chadema Tarime. Bigup Waitara piga kaziView attachment 1754070View attachment 1754071
Mbona unaweweseka mwanaufipaa. Nguja huyuu shujaaa akaierekibishe mara maaana wale makanjanja wenu walikalia maandamano na fujo zisizokuwa na tija kwa mnyongee. Chapa kazi waitara, tuteteee huko bungeniii
 
Watz tuache mambo ya kufanya kazi kwa ' kiki' na kuji'selfie', kuonyesha unafanya kazi ..hayo mambo yamepitwa na wakati...huu ni awamu ya 6!! Wananchi wanataka uonyeshe ' deliverables' na sio kitu kingine....
 
We jinga sn unafikiri likiwa dume kwako na kwa wengine hvyhvy?We bwabwa vp
Watoto msiowajua baba zenu mnategemea nini na mtakwepaje huyo kuwa baba yenu kwa mama yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…