DOKEZO Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto

DOKEZO Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huu ukatili uliofanywa na Mbunge wa Babati Paulina Gekuli haupaswi kufumbiwa macho hata kidogo, @tanpol wajibu wenu ni upi? Kwanini mnalea udhalilishaji huu mkubwa mpaka sasa waliofanya hivi vitendo wapo uraiani?

View attachment 2823504
Hashimu Ally Phillemon, mkazi wa Babati Mjini, anaeleza kwamba alikamatwa eneo lake la kazi, Paleii Lake View Garden, mali ya mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul, Naibu waziri sheria na katiba na kupigwa, kujeruhiwa na kuwekewa chupa katika maeneo ya haja kubwa.

Hashimu Ally anasema, Pauline Gekul alitoa bastola, akamueleza achague kukalia chupa mwenyewe au apigwe risasi na mwili wake wakautupe katika Ziwa Babati. Akagoma, wakampiga sana, wakamuingizia chupa sehemu ya haja kubwa. Huu ni unyanyasaji wa hali ya juu sana. Unyama.

Hashimu Ally anasema alituhumiwa na boso wake (Pauline Gekul) kutumwa kuweka sumu ili kumuua Pauline Gekul, tuhuma ambazo hazijathibitishwa popote hata na jeshi la polisi. Akasulubiwa sana kisha kukabidhiwa polisi Babati na kumpiga kila siku asubuhi na jioni, kwa siku nne.

Hashimu Ally alikana tuhuma zote hizo akiwa kituo cha polisi Babati Mjini na hata chini ya mikono ya mateso ya Pauline Gekul. Baada ya kupigwa kwa siku nne mfululizo akiwa polisi Babati, alidhaminiwa na baba yake mzazi. Lakini leo ameitwa ofisi za Manyara ili kutoa maelezo. Tunafuatilia.

Ujambazi huu unafanywa na Pauline Gekul ambaye hadi sasa ni naibu waziri wa Sheria na Katiba. Wizara ambayo inapaswa kuongoza kwa vitendo ulinzi wa haki za binadamu, utawala bora wa sheria. Pauline Gekul umepata wapi uhalali wa kupiga watu kwa tuhuma za kipuuzi?

Serikali ya CCM imechukua majambazi na kuwapa madaraka makubwa namna hii? Ni wizara hii ilisema kwamba watanzania wanatakiwa kupewa elimu ya katiba kwa miaka mitatu? Kimsingi Pauline Gekul hatakiwi kuwa Naibu Waziri wa masuala ya sheria na katiba.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara, tunataka kuona haki ikitendeka. Waliotenda jinai wote kuanzia walinzi wa Pauline Gekul, wafanyakazi wa Paleii Lake View Garden na polisi waliompiga Hashimu wachukuliwe hatua za kisheria. JAMBAZI PAULINE ASHTAKIWE.

Tunauatilia na tutaujulisha umma kila hatua. Hatuwezi kuishi nchi ambayo naibu waziri anaweza kuamua kutunga tuhuma, kutoa adhabu za kikatili na tena kuwakabidhi polisi waendeleze unyanyasaji. Hatuwezi kuruhusu Taifa letu pendwa likawa na MAJAMBAZI ofisi za umma

MMM, Martin Maranja Masese
Huyu si Naibu waziri wa katiba na sheria? Mahakama na DPP wapo chini yake.
 
Angalia kabla ya wao kuingia anga zako usije ukaingia zao.
Kwa wanao nijua mimi vizuri ni mtu mmoja mkimya na mpole ajabu; tofauti na kelele za jukwaa la siasa.

Hata kuongea saa zingine tabu.

Lakini katika utoto wangu wa sekondari watu niliokuwa nakaa nao ni balaa shuleni wale wanaotoroka kwenda mbuguni kuchimba madini, wenginene walishaanza kuwa wezi wa magari; wakati huo nina washkaji waliopiga Division 1 ya 7 na 8 wengi wao au unaweza nikuta nipo na wanao toka vijijini wananielezea maisha huko mimi ni wa kila mtu. Tena asilimia kubwa ya marafiki zangu walikuwa wamenizidi kidato nimeanza nao mi nipo form one wao wapo form three.

Kwenye 18’s washikaji zangu walikuwa watoto wakijamaica kuna mablaza wacheza kikapu na kuna wahuni wanatembea na bastola tushaenda mpaka sehemu ugomvi ikatokea shooting wote tukakamtwa.

In my 20’s nilikuwa na washikaji wauza nganda na tupo poa tu mpaka leo; pamoja na drama za upuuzi za social media.

Nachojaribu kukwambia nimeona mengi na nakaa na kila ya aina ya mtu vizuri.

Kuna ka mji kadogo nimeamia kuna mambo yangu ya kuweka sawa; huku sasa ndio nimekutana na watanzania washamba halafu wanajiona wahuni balaa.

Tatizo ukifanya upuuzi udogoni au kuona mambo fulani ambayo ufanani nayo unaachana nayo. Vinginevyo makundi ya watu wote hayo lolote lingenipokea I am that cool kwa wanao nijua vizuri.

Sasa nipo sehemu ambayo sina watu ninao wajua ni kamji kadogo kamejaa wabongo wengi walugaluga na watu wa visiwani; nikikwambia kuna watu wana mambo ya kishamba trust me; yaani mpaka mimi niwe na hasira na mtu ujue kanivaa kiasi kwamba akivumiliki.

Ni hapa tu nilipo nina dillema risk it all kwa sababu ya kisasi because ninao huo uwezo wakuwaletea watu au nibaki na hasira kutafuta namna ya kusamehe na ku move on maana mission yenyewe iliyonileta nishamaliza anytime nachomoka.

Watu wenyewe ujanja wao unaishia huku tu kijijini nilipo nje ya hapo hawana lolote. Ujakutana tu na wapuuzi kwenye maisha yako.
 
Kwa wanao nijua mimi vizuri ni mtu mmoja mkimya na mpole ajabu; tofauti na kelele za jukwaa la siasa.

Hata kuongea saa zingine tabu.

Lakini katika utoto wangu wa sekondari watu niliokuwa nakaa nao ni balaa shuleni wale wanaotoroka kwenda mbuguni kuchimba madini, wengine walishaanza kuwa wezi wa magari; wakati huo nina washkaji waliopiga Division 1 ya 7 na 8 wengi wao. Tena wote wamenizidi kidato mi nipo form one wao wapo form three.

Kwenye 18’s washikaji zangu walikuwa watoto wakijamaica kuna blaza wacheza kikapu na kuna wahuni wanatembea na bastola tushaenda mpaka sehemu ugomvi ikatokea shooting.

In my 20’s nilikuwa na washikaji wauza nganda na tupo poa tu.

Nachojaribu kukwambia nimeona kila na nakaa na kila ya aina ya mtu vizuri.

Kuna ka mji kadogo nimeamia kuna mambo yangu ya kuweka sawa; huku sasa ndio nimekutana na watanzania washamba halafu wanajiona wahuni balaa.

Tatizo ukifanya upuuzi udogoni au kuona mambo fulani ambayo ufanani nayo unaachana nayo. Vinginevyo makundi ya watu wote hayo lolote lingenipokea I am that cool kwa wanao nijua vizuri.

Sasa nipo sehemu ambayo sina watu ninao wajua ni kamji kadogo kamejaa wabongo wengi walugaluga na watu wa visiwani; nikikwambia kuna watu wana mambo ya kishamba trust me; yaani mpaka mimi niwe na hasira na mtu ujue kanivaa kiasi kwamba akivumiliki.

Ni hapa tu nilipo nina dillema risk it all kwa sababu ya kisasi because ninao huo uwezo wakuwaletea watu au nibaki na hasira kutafuta namna ya kusamehe na ku move on maana mission yenyewe iliyonileta nishamaliza anytime nachomoka.

Watu wenyewe ujanja wao unaishia huku tu kijijini nilipo nje ya hapo hawana lolote. Ujakutana tu na wapuuzi kwenye maisha yako.
Punguza hasira

Ova
 
Mara nyingi watu wanaofanyiwa unyama wa aina hii unakuta anampanda mtu kichwani kwa kumletea mambo ya ovyo. Hasira zake ndio anamrudishia kwa kutuma watu wafanye unyama wa aina hiyo.

Binafsi I am capable of doing worst if opportunities arises kwa watu kama watatu tu hivi; ipo siku wataingia anga zangu.
Kiukweli hata mie nikiamua kufanya yangu huwa sina utu hata kidogo.
 
suala hili lichunguzwe tujue ukweli. na kama dogo anatumiwa na wabaya wake tujue ukweli pia. ila nijuacho kuhusu hao masingo maza, wengi wana matatizo sana.
 
Ukitaka kujua taifa la wafiraji na wafwiraji angalia aina ya adhabu wanazopenda watu kufanyiana lazima zihuishe njia ya haja kubwa. Watu wa namna hiyo yu mkini bila shaka yoyote ni watu wanaopenda masuala ya ulawiti direct or indirect.
 
Taifa la nini? Wewe pia mmoja wapo? Au ulimi umekuteleza? Yaan wewe pia ni Afande Rama? 🤪
 
Back
Top Bottom