DOKEZO Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sasa mimi nawauliza?
Mmemuamini vipi huyu kijana huku amefichwa sura?
Chanzo cha taarifa hii ni kipi?
Au ndio team Mbowe inavyowasa wabaya wao?
Aliyeweka hii post huko X ni Martin Maranja Masese kwa kutumia verified account na anajulikana alipo hadi nyumbani kwake. Natarajia sheria ichukue moonfo wake; Gekul amshitaki Masese kwa kuwe post za uongo au akanushe tuhuma hizo.
 
Sawa
 


Forgive them. Not for them but for you.
 
Kwenye hii mada Maoni yako mengi kama sio yote yamelenga kumuhukumu huyo mtuhumiwa mbunge mpaka unamchorea ramani ya kutokea, kuna lolote la ziada unaufahamu nalo juu ya hizi tuhuma utupe na sisi mwanga zaidi?
We ni mgeni wa nchi hii au

We tusubiri utetezi wa mb ndiyo utaelewa nilikuwa namanisha
Nini

Ova
 
Upande wa pili useme neno tupime unga na maji, lakini kwa jinsi wenye madaraka wa uswahilini walivyo watu wa hovyo si ajabu ikawa ni kweli, na ikithibitika ni kweli wamnyooshe huyo waziri sawa sawa na ushetani wake
 
Bahati mbaya CCM wanajua kulindana sana, kama sheria kuchukua mkondo wake, hapo zinahitajika kelele za ziada kama zile za DPW.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Hilo sasa ndilo linalosababisha Wananchi waamue kujichukulia sheria mkononi. Hebu fikiria kama ni mtoto wako aliyekuwa akijitafutia riziki yake kwa njia halali, kafanyiwa huo unyama??
 
We ni mgeni wa nchi hii au

We tusubiri utetezi wa mb ndiyo utaelewa nilikuwa namanisha
Nini

Ova


Tatizo sio utetezi. Tatizo unaandika statement zako Kama mtu mwenye uhakika sana na tuhuma hizi.

Kwenye hii video hatujaona report ya polisi wa daktari, uthibitisho pasi na shaka uko wapi kwa tuhuma kubwa namna hii?


Napinga ukatili, unyanyasaji na udhalilishaji wa aina yoyote na haswa akifanyiwa mtoto, ni mbaya zaidi.
 
Nadhani subra, utulivu na ustahimilivu ni muhimu sana kwenye kuyaendea mambo kama haya yanapotokea.

Kuhukumu kwa ghadhabu na mihemko bila kuskiliza na kujiridhisha kutoka kwa pande zote zinazohusika ni ukurupukaji unaoweza usimpatie haki stahiki muathirika lakini pia usimpatie adhabu stahiki mdhulumu haki.
 
Hili tukio lingekuwa limetipoyiwa kufanya na mtu mwingine naye sio Kiongozi wa CCM, tu gekuwa tumeshawasikia Wanaharakati wakina juu! Bila shaka DkGwajima amelisikia hili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…