DOKEZO Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Una tatizo la akili. Tafakari
 
KIZIMKAZI hana muda na Watanganyika.mji tetee wenyewe YY na genge lake ni madalali n wezi.
 
Dkt. Gwajima D naomba tuone uadilifu wako, vijana wanaharibika sana, tushapoteza mwanaume , tena KWA chupa.
Mm ni daktari professional kama ulivyo ww ,ndo mana nimeumia sana.
Hamna aliye juu ya sheria
 
Dah itaumiza sana sana, una muharibu mtoto KWA chupa kweli, yan nitadharau matamshi ya wanasiasa wote hata Humu wakichangia nitaona wanafki
Usiwaamini hawa viongozi wanasiasa hata siku moja,na kupata haki tz ni ngumu kwerikweri lazima ujitafutie
Haki yako mwenyewe

Ova
 
Tunalaani vikali tukio hili!Watu tusimame kuhakikisha huu upuuzi sheria inachukua mkondo.Poleni tulioguswa
 
 

Attachments

  • images (7).jpeg
    29.3 KB · Views: 3
  • images (6).jpeg
    22.7 KB · Views: 3
Ni vizuri sheria ichukue mkondo wake na utawala wa sheria ufuatwe ,Mbunge na hao vijana wahojiwe na uchunguzi ufanyike ijulilikane ukweli uko wapi . Mwisho kabisa uwajibikaji uwepo .
Nani wa kumhoji?
Policeccm?
Police haohao ni sehemu ya uhalifu,zaidi baadae kijana atasema sikupigwa wala kitu chochote kibaya sijafanyiwa.

Hivi yule aliyesemekana kupigwa risasi na Kigwangala kesi inaendeleaje?
Ama alikubali kuwa ni kweli alipigwa risasi na sheria ikafuata mkondo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…