Naibu Waziri: Serikali itatumia hekima kuwasaidia ambao wameshindwa kujisajili

Naibu Waziri: Serikali itatumia hekima kuwasaidia ambao wameshindwa kujisajili

beth,

Sasa mbona boss alizema zifungwe? Au wameshauriana akaambiwa aseme hivyo?

Kama hakuruhusiwa, basi atakuwa anapingana na agizo la boss wake na hivyo akaye tayari kutumbuliwa.

NASHINDWA NI NANI MSEMAJI WA SIRI KALI HII
 
Nimefanya uchunguzi eneo nililopo NIDA wamefanya error sana kwenye typing majina yanakuja tofauti mfano mtu unaitwa JOACKIM wametype JOAKIM
Mtu anaitwa KALUNDE wame type KALUNDU...
Je hili linaendaje kuna uwezekano wa kurekebisha au ndo hivo hivo..??
Maana mtu unakuta unatofautiana spells

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom