Naibu Waziri TAMISEMI: Tunapanga kuboresha posho za wenyeviti wa vijiji

Naibu Waziri TAMISEMI: Tunapanga kuboresha posho za wenyeviti wa vijiji

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
“Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kulipa posho za waheshimiwa madiwani, posho za waheshimiwa wenyeviti wa Serikali za vijiji na mitaa, lakini tutaendelea kuona uwezekano kwa kadri ya uwezo wa serikali, namna ambavyo halmashauri zitaboresha posho za wenyeviti wa vijiji.” – Dkt. Festo Dugange, Naibu Waziri TAMISEMI
 
Kwa kuwa Uchaguzi unakaribia! Baada ya uchaguzi mnawatupa kama Toilet iliyotumika.
 
Ni aibu kumlipa mtunga Sheria 360, wakati figa jirani anakunja 18!! Aibu
 
Back
Top Bottom