Hapo sawaAidha, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amesema Serikali haitofumbia macho wanaotumia Rushwa kujipatia ushindi.
Bingwa wa malalamiko.Sasa nani anabisha kua Yanga sio kubwa..?
Tena wanaenda hadi wizarani kulalamikaPia asingejisahaulisha kuwambia na Wao Vyura wanapofungwa au kutoa Sare wakubali Matokeo.
Lakini cha ajabu Vyura walipowatuhumu Serikali, TFF, Simba na BMT kuwa wanaihujumu Yanga basi hajasema chochote.
Nyie utelembwe subirini tr 8Kwamba utopolo ni bingwa hapa Tanzania na bora Afrika. Hakika utopolo ni utopolo tu hata akiwa waziri.
Utopolo ni timu kongwe sio kubwa.Nyie utelembwe subirini tr 8
NAKAZIAAAAAANaibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi, amesema kumekuwepo na tabia ya Viongozi wa timu mbalimbali Nchini kutoa kauli za kwamba walihongwa hususan wanapofungwa na Yanga.
Akiwa Bungeni Dodoma amesema, "Ifike wakati Viongozi wa Timu hizi na Watanzania kwa ujumla wakubali kwamba Yanga ndio Timu bingwa hapa Tanzania na bora Afrika, kwahiyo wanapofungwa wakubaliane na matokeo"
Aidha, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amesema Serikali haitofumbia macho wanaotumia Rushwa kujipatia ushindi.