Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel atoa ufafanuzi kuhusu "Matatizo ya Kushindwa Kupumua"

Tangu tuingie uchumi wa kati tumepata Maadui wengi sana
Sio Mitano tena ni milele kabisa...
Nchi hii ni tajiri sana
Au nasema uongo ndugu zanguuuuu,,,
Wanayajua mavieitee......
Sisi tunatembelea mavieitee....
 
Nikizaa mapacha nitamuita wa kwanza "changamoto" mwengine " ya upumuaji"
 
Tz ya sasa mamaaaaa oi mamaaaa
Ima waaka wakaa mamaa maaa
 
yote haya wanayosema ni ili mfalme juha aridhike na nafsi yake sio ??
 
Mbona hazungumzi kama mwanaume, matatizo ya kupumua yanayowakumba watanzania wengi sasa yanatokana na nini?, kisukari, pressure, pumu?.
 
Duuh!
Sasa hapo amefafanua nini?
Mi-5 tena🙄
 
Matatizo ya kushindwa kupumua ni ugonjwa gani huo?Huwezi kutatua tatizo kwa kulionea aibu!Utawala wa Farao umefitinika na umekataliwa mbele za Mungu ndiyo maana anaongoza nchi kama mtoto mdogo alievaa pampasi ambae hajui la kufanya!

Farao aliwahi kusikika katika vikao vya ndani akidai kuwa hata kama Wananchi watakufa kwa wingi kwa Corona hawatakufa wote!Farao ni wa kutukana na kurushiwa viatu kama ishara ya kumlaani maana anaua watu makusudi.
 
Tatizo lake tu anawaita wenzake vilaza wale wenye mawazo mbadala aka tofauti na mtazamo wao, tupo live sasa hivi "Wasafi FM" na mtaalam mwingine wa dawa za mitishamba kutoka Wizara ya Afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…