Naibu waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi: Serikali itagharamikia bima ya afya kwa wote kwa makundi maalum

Naibu waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi: Serikali itagharamikia bima ya afya kwa wote kwa makundi maalum

D.ORODHA YA HUDUMA ZA UPASUAJI MDOGO NA MKUBWA – 36
Item CodeItem Name
6278Above Elbow POP (Adult)
6149Above Elbow POP (Children)
6137Above Knee POP (Adult)
6150Above Knee POP (Children)
42006Appendicectomy
6138Below Elbow POP (Adult)
6151Below Elbow POP (Children)
6139Below Knee POP (Adult)
6152Below Knee POP (Children)
6569Blood transfusion
42015Burst Abdomen- Repair
42017Caesarian Section (C/S)
6153Club Foot POP (Children)
42023Colostomy Closure - Laparotomy
6142Contact POP (Adult)
6154Contact POP (Children)
6143Cylinder POP (Adult)
6155Cylinder POP (Children)
43209Dilatation and curettage (D&C)
6144Distal Humeral Fracture POP (Adult)
42038Ectopic Pregnancy Operation
41037EUA and Wedge Biopsy-Cervix
42060Hysterectomy (Sub/Total)
42074Laparotomy - Abdominal Trauma (Splenectomy/Liver)
42068Laparotomy - Perforation of Viscera
42069Laparotomy - Peritonitis /Infection
6113Lumbar Puncture
6335Major Wound Dressing (Diabetic/ Extensive Bed sores/ Pyomyositis, extensive Burn & Cancerous wound etc)
41068Manual Vaccuum Aspiration (MVA) for incomplete abortion/Evacuation
6118Normal Delivery and Delivery Package
6146Sarmieto POP (Adult)
6156Sarmieto POP (Children)
6293Suprapubic Cystotomy - SPC
6515Tooth Filling Permanent
6517Tooth Filling Temporary
6157Wound Dressing (Out Patient) / Stitch removal
Vikifanyika vyote hivyo; hiyo bima itakuwa nzuri sana

Ni wakati sasa wale wenye kipato kwenye familia kuwakatia Bima ndugu zao kule kijijini ili wasihangaishwe na kuchangia hela za matibabu.
 
vikifanyika vyote hivyo hiyo bima itakuwa nzuri sana
Ni wakati sasa wale wenye Kipato kwenye familia kuwakatia Bima ndugu zao kule kijijini ili wasihangaishwe na kuchangia hela za matibabu
Naam, bima itakuwa na watu sita kwenye kitita.

1. Mume +mke na
2. Tegemezi 4 ndani ya familia.


Lakini bila kusahau makundi maalumu ambayo watatibiwa na bima ya serikali kwa kitita cha shilingi 150000/.
1. Walemavu
2. Watoto
3. Wasiojiweza - TASAF
4. wajawazito
 
Maswali ya msingi yanapaswa kuwa

Je matibabu ya ndani kikomo ni kiasi gani?
Matibabu ya nje kikomo ni kiasi gani?
Dawa gani atapewa?
Je atapewa huduma kuanzia ngazi gani hadi wapi? Zahanati etc
Je atapewa huduma gani ie za mionzi
kuchuja damu? Moyo
Je itahusisha CT Scan, MRI etc

Maanza wanaolipia Tsh 780,000 kwa mwaka wana kikomo cha matibabu Tsh 1,500,000
Tembelea Website ya Wizara wameandika
 
Point ya msingi subiria wamalize tiba, kisha fuata taratibu za kudai haki, Huku ukiwa na ushahidi wa malipo uliyofanya pindi unapata tiba.
1. Ustawi wa jamii
2. Takukuru
3. Moja kwa unaweza kwenda kwa RMO
TAbu yote ya nini mkuu! Uzuri malipo yalienda serikalini hayakuingia mfukoni mwa wajanja.
 
Waziri Mchengerwa nadhani itaiweka sawa hii sekta ya afya! Kaletwa sehemu sahii kabisa! Akomeshe upuuzi wote kwenye hospital zetu
 
Pole sana mkuu, hapa ulikitana na mapele wenye nia ovu, ulikuwa na haki kabisa ya kutoa taarifa kwenye mamlaka.
Sikufahamu ilo mkuu! Sema kwakuwa pesa iliingia serikalini hawakula wajanja wachache, sio mbaya.
 
Hili jibu linaonyesha hujawahi kuwa na mtoto na kumpeleka hospital za serikali. Siku jaribu utapata majibu, maana huwezi elewa

Hakuna program ya serikali iliyowahi kufanikiwa
Hapa hatungumuzii masuala ya kumiliki watoto mkuu, nikisema watoto ni bure maana yake nina uhakika ninacho kusema.
 
Waziri Mchengerwa nadhani itaiweka sawa hii sekta ya afya! Kaletwa sehemu sahii kabisa! Akomeshe upuuzi wote kwenye hospital zetu
Mambo yapo vizuri kabisa, tatizo tulichangnya siasa na afya.. Huu ndo mfupa mgumu kwenye jamii kwa sasa.
 
Serikali inatekeleza sera ya afya ya mwaka 2007 inayoelekeza kutoa huduma ya matibabu bure kwa makundi maalaum ikiwemo kina mama wajawazito, watoto chini ya umri wa mika 5 pamoja na wazee wenye umri zaidi ya miaka 60wasio na uwezo. Serikali imeshatangaza rasmi utekelezaji wa bima ya afya kwa wote awamu ya kwanza itakayohusisha makundi ya wananchi ikiwa ni pamoja na watotot, wajawazito, walemavu na wzee wasio na uweo ambapo kundi hili litagharamiwa na serikali"
Futuhiiiiii ndiyo ni FUTUHIIII.

Sioni utofauti wa Sera ya 2007 na hii bima ya afya kwa wote kwa hao wenye makundi maalum.
 
Back
Top Bottom