Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Ndiyo Sugu wa CHADEMA juzi ndiyo ametoa hayo malalamiko Bungeni na reference akaitaja Hospitali ya Meta,Da! Hapo CHADEMA watasema sana kuwa bila wao serikali isingetoa hiyo tozo mbona ni hoja ya muda mrefu sana hiyo ilikuwa haijatolewa maamuzi tu.
Hili jambo lipo sana tena kwa miaka mingi kabisa. Mimi mwili wa ndugu yangu umewahi shikiliwa hospitali moja kubwa hapa jijini Dar private. Hakika tulipata taabu sanaaa kulipa lile deni na baada ya wiki kadhaaa tukatoa mwili.Hivi haya malalamiko ya watu kudaiwa mpaka kufikia kushindwa kukomboa miili ya wapendwa wao mahospitalini wakaishia kufanya ibada nyumbani na kumshukuru Mungu hayakusikika miaka yote yamesikika mwaka wa uchaguzi?
aiseeee kwa kweli !!! haya acha tutekeleze sera za CHADEMA.Ndiyo Sugu wa Chadema juzi ndiyo ametoa hayo malalamiko Bungeni na reference akaitaja Hospitali ya Meta,
Kazi ya wabunge wa CCM ni kusema ndiyooooo na kuabudu.
da hapo chadema watasema sanaaaaaaaaaa kuwa bila wao serikali isingetoa hiyo tozo mbona ni hoja ya muda mrefu sana hiyo ilikuwa haijatolewa maamuzi tu
Hivi haya malalamiko ya watu kudaiwa mpaka kufikia kushindwa kukomboa miili ya wapendwa wao mahospitalini wakaishia kufanya ibada nyumbani na kumshukuru Mungu hayakusikika miaka yote yamesikika mwaka wa uchaguzi?
Ccm haiwezi anzisha hoja za kuwajali wananchi bila kwanza 'vichwa' wapinzani kuianzisha! Hata elimu bila malipo ni hoja iliyoasisiwa na wapinzani!Da! hapo CHADEMA watasema sana kuwa bila wao serikali isingetoa hiyo tozo mbona ni hoja ya muda mrefu sana hiyo ilikuwa haijatolewa maamuzi tu.
iboyamwaka2020, ndo hivyo tena wapinzani wameshapewa POINTI za bure na Mh. Ummyjamani kila jambo na wakati wake huu ndiyo ulikuwa wakati wa kutoa hizo tozo za lazima maiti wapinzani wasije wakaanza kuleta sifa zao kuwa wameilazimisha serikali kuitoa hiyo lazima ya tozo
Bila upinzani ccm isingefanya chochote, ccm inatekeleza Sera za upinzani,jamani kila jambo na wakati wake huu ndiyo ulikuwa wakati wa kutoa hizo tozo za lazima maiti wapinzani wasije wakaanza kuleta sifa zao kuwa wameilazimisha serikali kuitoa hiyo lazima ya tozo
Hili swala ni gumu sana hata mimi linaniumiza ila kuna namna inabidi ifanyike, naomba tujadiliane kwa mtindo wa swali?? Mimi na ww ikiwa tuna hospital na tukapata wagonjwa 20, ndani ya mwezi bahati mbaya wakafariki na wamehudumiwa na madaktari wetu na huduma zetu, na dawa ambazo tumezilipia, haitokua hasara?? Kama jibu ni ndio, serikali ifanyaje kwa waliofark???Ndugu wadau wa JF. Salamu.
Kuna jambo linaumiza vichwa vya wananchi wengi.
Hivi inakuwaje mgonjwa anaipigania afya yake kwa gharama kubwa lakini kwa bahati mbaya anapoteza maisha. Jina lake limebadilika, sasa anaitwa maiti (marehemu).
Jambo la kushangaza serikali kupitia hospitali inamdai huyo marehemu alipe pesa, asipolipa hatolewi hospitali. Hata maiti anadaiwa?
Wizara ya afya ifikirie kwa kina kadhia hii inayotupata sisi wananchi. Viongozi kumbukeni bila wananchi viongozi msingekuwepo.
Nawasilisha.
Mkuu wewe ni Master wa maswali nmeamimia fact yako Kuna raia watauwa ndugu zao ili kukwepa gharama heb just imagine mtu anadaiwa 5 mil at hospital nae ndg zake wasilipe achen hzoHili swala ni gumu sana hata mimi linaniumiza ila kuna namna inabidi ifanyike, naomba tujadiliane kwa mtindo wa swali?? Mimi na ww ikiwa tuna hospital na tukapata wagonjwa 20, ndani ya mwezi bahati mbaya wakafariki na wamehudumiwa na madaktari wetu na huduma zetu, na dawa ambazo tumezilipia, haitokua hasara?? Kama jibu ni ndio, serikali ifanyaje kwa waliofark???