Inabidi walipe maana hatujapenda afariki ndio maana madaktari wakawa wanahangaika na mgonjwa,Mkuu wewe ni Master wa maswali nmeamimia fact yako Kuna raia watauwa ndugu zao ili kukwepa gharama heb just imagine mtu anadaiwa 5 mil at hospital nae ndg zake wasilipe achen hzo
Mbona nchi nyingine za Afrika mgonjwa akifariki, maiti inatolewa hospitali, inaenda kuzikwa na deni la hospitali linafutwa?Hili swala ni gumu sana hata mimi linaniumiza ila kuna namna inabidi ifanyike, naomba tujadiliane kwa mtindo wa swali?? Mimi na ww ikiwa tuna hospital na tukapata wagonjwa 20, ndani ya mwezi bahati mbaya wakafariki na wamehudumiwa na madaktari wetu na huduma zetu, na dawa ambazo tumezilipia, haitokua hasara?? Kama jibu ni ndio, serikali ifanyaje kwa waliofark???
Wapi huko?Mbona nchi nyingine za Afrika mgonjwa akifariki, maiti inatolewa hospitali, inaenda kuzikwa na deni la hospitali linafutwa?