Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile aelezea aina za Barakoa za kuvaa na Utaratibu wa kutengeneza ya kitambaa

Tunahitaji picha ili kutuonyesha aina hizo za barakoa na kwanini N95 isivaliwe wakati ndio barakoa ambayo inazuia virusi kwa aslimia 95? na je ni bora ipi kuvaa hiyo N95 au vitenge,mbona nchi nyingine wanavaa hizo N95 ? atoe na sababu pia angekuwa anaonyesha anina hizo za barakoa,haifai kutamka tu majina,sisi sio wataalamu wa afya hatuzijui.
 
Ukitaka kujua anakazi gani, fanya kinyume na alicholiagiza, we nenda tu supermarket bila maski ya aina yeyote mpu.mbavu wewe, mnaleta siasa kwa issues za msingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Sisi watanzania tutavaa barakoa nyie wa Dar kateni vipande vya khanga na leso kama barakoa!!!
 
Habari,
Kumekuwa kukijitokeza maelekezo mbalimbali yanayokinzana kuhusu uvaaji sahihi wa hizi "barakoa".

Kukinzana huku ni kutokana na kukosekana kwa reliable source ya kupokea maelekezo haya.

Je, njia sahihi ya uvaaji wa hichi kifaa upoje???

Medical guys tusaidieni.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaotaka picha nendeni jukwaa la photo .
Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…