Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence George, ameeleza bungeni leo Septemba 2, 2026 kuwa serikali inaendelea kusimamia kikamilifu utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote ili kuhakikisha kila mwananchi anapata na kumudu huduma za afya nchini.
“Serikali inasimamia utekelezaji wa bima ya Afya kwa wote ambapo hadi Juni 2026 jumla ya kaya 276,004 sawa na asilimia 100 ya kaya maskini zilizolengwa kugharamiwa na Serikali kwa awamu ya kwanza zimesajiliwa, na jumla ya wanufaika milioni 1.4 wamegharamikiwa bima ya afya na Serikali.”
Soma pia>>>

- Mchengerwa: Bima ya Afya kwa Wote kuanza na kaya zisizo na uwezo
- Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote-kundi la wajawazito, utamaliza vilio vya gharama kwa akinamama wanaojifungua kwa upasuaji?
- Gharama ya Bima ya Afya kwa wote ni Tsh. 150, 000 kwa kaya, wasio na uwezo kugharamiwa na serikali
- ACT Wazalendo Yaituhumu Serikali Kufeli Ahadi ya Bima ya Afya kwa Wote