Katiba inasemaje kuhusu wanyanyasaji wa kijinsia kwenye swala la dhamana?Jamani huyu naye....Majuzi hapa aliaapa kulinda katiba leo nini hiki?
Sheria kuhusu suala hili lipitiwe gupta, hatuzai watoto wakike ili wageuzwe punchbag ya wahuni... sheria zipitiwe upya na ile ya ndoa.. Wanaume tuwe na adabu kidogo na dada zetu....
Wewe ni liccm usitake haribu vijana wa watu.[emoji7][emoji178][emoji178][emoji178][emoji178][emoji122]
Kama una kijana wa kiume naomba nimpe binti yangu[emoji95]
Sheria kuhusu suala hili lipitiwe gupta, hatuzai watoto wakike ili wageuzwe punchbag ya wahuni... sheria zipitiwe upya na ile ya ndoa.. Wanaume tuwe na adabu kidogo na dada zetu....
Wewe ni liccm usitake haribu vijana wa watu.