matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Na ikitokea mwanae wa kumzaa akaingia humo wanatamani kijiuwa lakini watoto wa wenzao aaah.Wanawake ni marafiki wakubwa wa mashoga mkuu.
Mtakufa kama kuku nchi ambayo bajeti yenu inaenda kwa kutembeza bakuli,Serikali ya tanzania isitishe misaada kwa nchi hii.
Em sema tenaa? Wee unaotaaa? Poleee wee.Serikali ya tanzania isitishe misaada kwa nchi hii.
Unaleta mambo ya ccm kwamba walikuwa wanatania tu.Hamna labda hii habari ni utani....
Kama umenisoma vizuri sijamlaumu mtu bali nimeshangaa,kingine hao unaosema ni wanaume utakuta hawana tofauti na hao wanaojiita wanandoa hapo so wala hawajanishangazaKwahiyo hapo umeona akina mama na dada tu wanaume hujawaona au unataka tu kuwalaumu wanawake kama kawaida ya wanaume wa jamii forum??๐๐
Nakubaliana nawe kuna memba mmoja humu jamvini kama miaka miwili nyuma alikuwa anamshabikia sana ushoga. Nilipomuuliza kuhusu yeye anaweza mruhusu kijana wake wa kiume aolewe na mwanaume mwenzake aliishia kukaa kimya.Na ikitokea mwanae wa kumzaa akaingia humo wanatamani kijiuwa lakini watoto wa wenzao aaah
Mafedhulii wapiii? Wee ndo mtakatifuu sanaa? Leo mtasandaa mbnaaHao tayari ni kama wahalifu sasa utakuta mdada hana shida yeyote labda anamume au mpenzi lkano kitwa kuambatana na hao mafedhulo.
Ongezaaa sautiiiiiii!!! Aaaaaiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha kama wanakula nyama mbichi tuwatofautishe vipi na mbwa au fisi hao wote ni carnivore.
SadWaziri wa ulinzi wa United kingdom ameolewa na mchumba wake wa siku nyingi
Kupost hizi mambo ndio kuhamasisha masuala ya upindeWaziri wa ulinzi wa United kingdom ameolewa na mchumba wake wa siku nyingi
View attachment 3085161View attachment 3085167View attachment 3085163View attachment 3085165View attachment 3085166
Hao waalikwa ni kama wanamcheka vile ๐๐๐๐View attachment 3087056
Waziri wa ulinzi nchini Uingereza bwana Luke Pollard siku ya jana ameolewa na kijana mdogo Gen Z aitwaye Sydney Robertson
Ndoa ilifanyika Port Eliot kwenye mji wa Cornwall
Ndoa ilifana sana kama inavyoonekana kwenye picha
Kwa sasa wako honeymoon.