Mimi napenda wanavyokaa uchi ndio biashara ya papaaa inatoka.Wewe unapenda wawage uchi
Duuh hii ndio jamii Forum siku hizi home of great thinker.! Na wewee ni mmoja wa hao great thinker.??Embu pita huko na porojo zako
Sorudiagi kujisoma kwa sababu nakumbuka ninayoandika...
Sasa huo ucih uliuona ameuanika? Na ilikuwa lino na saa ngapi?
Umejaa wivu tu wewe.. hata kuandika unakazania upupwuuuu.. ye ni mwanamke tuna mengi tunafanya sio ya kinyama kama nyie wanaume.. changia yako nami nachangia yangu.. sipangiwi.
Dada yangu mambo VP? Nazidi kuwa Mzalendo!Umeona nimemuongelea Giggy!!!
Na pia nani kasema nimeandika ya siasa.. embu kaa chini jipime kudandia dandia utulize kichwa chako..
Hivi wimbo huu wanaume wenzangu munausikiliza kweli?Unawatetea wenyekuimba nampa PA PA PA, NAMPA PAPA.!!!
Ha! Kumbe ni mdogo wake mamaaaaMbona hajamsimisha mdogo wake aliyeolewa na mwanamke/jike mwenzake na kaliwa denda live[emoji2][emoji3][emoji3]:
Wangekua wanavaa uchi ungependwa hatari hata wewe ungeusapotMbona Taarabu Wanavaa Vzur Ingawa Csapot Mziki Wapewe Adhabu Yao
Kati ya video nilizoziona hii ya pretty ni kama kwaya tuu hapo lazima lipo jambo nyuma ya pazia kamuonea dada wa watuuKwa kumuweka yule Dada alie na kuwa na macho mekundu huku yeye akiongea bila hata uuruma kwa mwanamke mwenzake.. hiyo hapana aiseeeee
Yaani kaongea kama vile huyo mdada sijui sio binadamu.. kamsimamisha pembeni huku analia macho mekunduuuuu yeye anaongea kama hajali..
Na kuna wengi wanaume wana video zinawanawake balaaa... hawawasimamishii kazi.
Amechemka kweli kweli..
Pole kwa huyo Dada ..ila picha ya utupu ndio hizo amevaa nguo fupi.. maana bado sijaelewa utupu upi?
Watoto huko mitaani hawana mengi yaliyochini ya wizara yake yeye kaona haya ndio kiki au ndio wasanii tu serikali yetu inawaona hapa nchini
Mbona mengi hawayaendelezi kwa manufaa ya watoto wanafunzi na vizazi vijavyo..
Instagram yenyewe yaani kabisaaaaa
Huko youtube nako wakajioneeee
Huko Instagram mtu anaenda kuangalia picha akitaka.. na picha tupu haziruhusiwi kuwa puboic.. sasa angetuleleza hiyo picha ya utupu ni ipi je hakuwa na nguo yoyote hata sidiria mwilini yaani alikuwa alivyozaliwa?
Wale wanafundisha watu kunanihiii huko huko instagram mbona hajawaita kuwafungia kazi? Maana nao wanacheza kila mwili uwezavyo kucheza wakionyeshea..
Angetoa onyo maana ameacha wengi.. wanaume nao amewaacha mbona...
Kama wasanii wamekatazwa kushiriki tukio fulani kwa sababu za kimaadili haina maana kuwa wamezuiwa kushiriki shughuli za kisanii maishani. Adhabu ndogo ndogo kwenye fani yoyote hutolewa ili kufanya marekebisho ya mienendo na tabia. Kwenye fani nyingine mfano mpira wa miguu kuna kadi za njano , nyekundu, na kufungiwa. We Kisandu una value judgement sana kwenye post zakoKwanza umeonesha una wivu na wasanii wa kike na umeonesha una mahaba na wasanii wa kiume. Wanawake huwa mna mengi ya kuoneana gere.
Juzi tu tumekuona ukiwa kimbelembele kuwapeleka Studio Babu seya na mwanae kisa tu mnataka kick ya CCM.
Lakini Leo kupitia TCRA umewapiga nyundo wasanii wa wawili wa kike kutoshiriki kazi za Sana'a kwa miezi 6 kwa matendo yao ya kuvaa vichupi katika kazi zao na kutupia picha za utupu mitandaoni. Nakuunga mkono lakini pia nakupinga kwa 100%.
Sheria ikishapitishwa pia huwa ina tarehe yake ya kuanza kutumika na huwa tunafanya hivi ili kulinda Hekima na Busara na kuwafanya wananchi wajitafakari upya kabla sheria haijaanza kazi na wao kuanza kujirekebisha.
Sasa unawapiga nyundo ya miezi 6 halafu vichupi hivyo wameanza kuvaa miaka mingi. Tulitegemea ungewazuia kuvaa hivyo kwanza kwa Filamu zijazo na matendo yao yajayo, busara ilitakiwa kuwashauri kwanza kuepukana na matendo hayo ili watakapo rudia baada ya sheria mpya Ndio wapigwe stop
Mh. Naibu Waziri Bi. Shonza sisi wasanii Sana'a Ndio maisha yetu, hatuna mshahara zaidi ya Sana'a. Wewe una mishahara miwili, mshahara wa mbunge na mshahara wa Uwaziri na posho juu, sisi hatuna hivyo. Ukitusimamisha gafla kwenye Sana'a tutakula wapi? Maana tunayoyafanya kwenye Sana'a sio tunayoyaishi Bali tunatafuta mlo wa siku.
Tunajua una mahaba na Babu Seya na Mwanae baada ya kutoka gerezani lakini huangalii sisi tutakula wapi na tunategemea sanaa. Tafakari tena halafu futa hiyo adhabu.
Mimi Deo Kisandu ni msanii pia nje ya siasa na jua magumu tunayopitia wasanii, je unataka Dada zetu wawe machangudoa? Maana sasa watoto wao utawalisha wewe? Mh. Shonza jaribu kutumia busara mdogo wangu. Nimesharejea Mwanza kazini shule zimefunguliwa nikitokea Kahama. Karibu Mwanza ule hata Sato na sangara.
Deogratius Nalimi Kisandu
7 januari 2018.