Naibu Waziri wa sanaa, Shonza umechemka kuwasimamisha kazi wasanii Giggy money na Suzan kinyume na ustarabu wa hekima

Naibu Waziri wa sanaa, Shonza umechemka kuwasimamisha kazi wasanii Giggy money na Suzan kinyume na ustarabu wa hekima

Duuh hii ndio jamii Forum siku hizi home of great thinker.! Na wewee ni mmoja wa hao great thinker.??
[emoji134] [emoji86]
Tanzania Nchi yangu tulikukosea nini kizazi chetu?
usikute hata hao wauza papa wako humu na...!

Jipige vibao vya usoni ulie kabisa..

Ukiona vipiii jipige vibao vya usoni.. maana naona hata wa huko unapo nanii ni hao hao eeeeehh

Kulilia juu ya eanawake na maumbile ndio unaongelea u GT aiseeeeee dunia hii inamajanga tukianzia wewe.. hapo utakuta umeshinda unaangalia picha zake na kutamani ziwe za utupu kabisa yule S.
 
hivi wakienda kukaa ughaibuni watazuiwa? namshauri gigy akakae kenya atoe ngoma mpya akiwa kule apige show kule had mwez wa sita ndo arudi maana serikali si inamtambua akiwa hapa tu.
 
Unamzuia mtoto kama sanchoka asivae kichupi huo ni wivu,kuna mgongano wa kimaslai
 
Kwako mtoa mada, unapaswa kwenda kuuzwa libya wewe, Pumbu.vu kabisa.
Hivi sanaa ni kuvaa nguo za hovyo hovyo? Acheni kutetea ujinga.Jinga kubwa wewe
hujaona sindimna tabwamakonde na mchunje wa wandengereko wewe eh?
 
Kama wasanii wamekatazwa kushiriki tukio fulani kwa sababu za kimaadili haina maana kuwa wamezuiwa kushiriki shughuli za kisanii maishani. Adhabu ndogo ndogo kwenye fani yoyote hutolewa ili kufanya marekebisho ya mienendo na tabia. Kwenye fani nyingine mfano mpira wa miguu kuna kadi za njano , nyekundu, na kufungiwa. We Kisandu una value judgement sana kwenye post zako
Hatujakataa hila hapa doubt lazima hapa lazima lipo jambo we huko yuotube huingiagi??
 
Huyo shonza anatakiwa akadeal kwanza na huyu mdogo wake aliyeolewa na mwanamke mwenzake....
d63137cbc6d08693aa5a44fd4eaa3091.jpg
Alaa!!
 
Juliana shonza na aliyemteua hawaelewi maana ya utamaduni na maadili. Suaala la kujenga utamaduni na maadili ya nchi sio la chama wala serikali ni jukumu la wote! Kabla ya kwenda mbali juliana atweleze je kuna dressing cords za kitanzania?
 
Hivi wimbo huu wanaume wenzangu munausikiliza kweli?
Na inawezekana kuna wanaume wanauimba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaa, tumuulize muanzisha uzi. Inawezekana anaujua huo wimbo vzr
 
hao wacongo sijui wame-walogeni.? maana sio kwa tunayoyaona..

waziri zima limemshupalia Giggy,huku anaandamama na wabakaji na wakati huohuo Mdogo wake anasagwa kwa sana,na hatii neno..

acheni uduanzi na double standard za kilofa
 
Hivi wimbo huu wanaume wenzangu munausikiliza kweli?
Na inawezekana kuna wanaume wanauimba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaa, tumuulize muanzisha uzi. Inawezekana anaujua huo wimbo vzr
 
Kwanza umeonesha una wivu na wasanii wa kike na umeonesha una mahaba na wasanii wa kiume. Wanawake huwa mna mengi ya kuoneana gere.

Juzi tu tumekuona ukiwa kimbelembele kuwapeleka Studio Babu seya na mwanae kisa tu mnataka kick ya CCM.

Lakini Leo kupitia TCRA umewapiga nyundo wasanii wa wawili wa kike kutoshiriki kazi za Sana'a kwa miezi 6 kwa matendo yao ya kuvaa vichupi katika kazi zao na kutupia picha za utupu mitandaoni. Nakuunga mkono lakini pia nakupinga kwa 100%.

Sheria ikishapitishwa pia huwa ina tarehe yake ya kuanza kutumika na huwa tunafanya hivi ili kulinda Hekima na Busara na kuwafanya wananchi wajitafakari upya kabla sheria haijaanza kazi na wao kuanza kujirekebisha.

Sasa unawapiga nyundo ya miezi 6 halafu vichupi hivyo wameanza kuvaa miaka mingi. Tulitegemea ungewazuia kuvaa hivyo kwanza kwa Filamu zijazo na matendo yao yajayo, busara ilitakiwa kuwashauri kwanza kuepukana na matendo hayo ili watakapo rudia baada ya sheria mpya Ndio wapigwe stop

Mh. Naibu Waziri Bi. Shonza sisi wasanii Sana'a Ndio maisha yetu, hatuna mshahara zaidi ya Sana'a. Wewe una mishahara miwili, mshahara wa mbunge na mshahara wa Uwaziri na posho juu, sisi hatuna hivyo. Ukitusimamisha gafla kwenye Sana'a tutakula wapi? Maana tunayoyafanya kwenye Sana'a sio tunayoyaishi Bali tunatafuta mlo wa siku.

Tunajua una mahaba na Babu Seya na Mwanae baada ya kutoka gerezani lakini huangalii sisi tutakula wapi na tunategemea sanaa. Tafakari tena halafu futa hiyo adhabu.

Mimi Deo Kisandu ni msanii pia nje ya siasa na jua magumu tunayopitia wasanii, je unataka Dada zetu wawe machangudoa? Maana sasa watoto wao utawalisha wewe? Mh. Shonza jaribu kutumia busara mdogo wangu. Nimesharejea Mwanza kazini shule zimefunguliwa nikitokea Kahama. Karibu Mwanza ule hata Sato na sangara.

Deogratius Nalimi Kisandu
7 januari 2018.
Machoko na mashoga plus wasagaji mnajua kuteteana sana

Naona Yale ya wazungu kuandamana kutetea ushoga umeyaanza mapema
 
Kifupi sioni kama kuna mantik unauacha wimbo wa kibamia unafungia picha za insta wangap wanatumia net hapa nchini? Nyimbo ni rahis kufikia makundi yote ila ni ngumu kuzipata picha kama sio mfukunyufu mm binafsi hata sijawahi kuziona hizo picha za hao mabint pamoja na kitumia internet kwa sana sasa sijui watoto wa songwe na mbozi kama zimewafikia hizo picha.
 
Kwanza umeonesha una wivu na wasanii wa kike na umeonesha una mahaba na wasanii wa kiume. Wanawake huwa mna mengi ya kuoneana gere.

Juzi tu tumekuona ukiwa kimbelembele kuwapeleka Studio Babu seya na mwanae kisa tu mnataka kick ya CCM.

Lakini Leo kupitia TCRA umewapiga nyundo wasanii wa wawili wa kike kutoshiriki kazi za Sana'a kwa miezi 6 kwa matendo yao ya kuvaa vichupi katika kazi zao na kutupia picha za utupu mitandaoni. Nakuunga mkono lakini pia nakupinga kwa 100%.

Sheria ikishapitishwa pia huwa ina tarehe yake ya kuanza kutumika na huwa tunafanya hivi ili kulinda Hekima na Busara na kuwafanya wananchi wajitafakari upya kabla sheria haijaanza kazi na wao kuanza kujirekebisha.

Sasa unawapiga nyundo ya miezi 6 halafu vichupi hivyo wameanza kuvaa miaka mingi. Tulitegemea ungewazuia kuvaa hivyo kwanza kwa Filamu zijazo na matendo yao yajayo, busara ilitakiwa kuwashauri kwanza kuepukana na matendo hayo ili watakapo rudia baada ya sheria mpya Ndio wapigwe stop

Mh. Naibu Waziri Bi. Shonza sisi wasanii Sana'a Ndio maisha yetu, hatuna mshahara zaidi ya Sana'a. Wewe una mishahara miwili, mshahara wa mbunge na mshahara wa Uwaziri na posho juu, sisi hatuna hivyo. Ukitusimamisha gafla kwenye Sana'a tutakula wapi? Maana tunayoyafanya kwenye Sana'a sio tunayoyaishi Bali tunatafuta mlo wa siku.

Tunajua una mahaba na Babu Seya na Mwanae baada ya kutoka gerezani lakini huangalii sisi tutakula wapi na tunategemea sanaa. Tafakari tena halafu futa hiyo adhabu.

Mimi Deo Kisandu ni msanii pia nje ya siasa na jua magumu tunayopitia wasanii, je unataka Dada zetu wawe machangudoa? Maana sasa watoto wao utawalisha wewe? Mh. Shonza jaribu kutumia busara mdogo wangu. Nimesharejea Mwanza kazini shule zimefunguliwa nikitokea Kahama. Karibu Mwanza ule hata Sato na sangara.

Deogratius Nalimi Kisandu
7 januari 2018.

Shule wamefungua Nenda. Wtz ni maneno. Ukifanya maneno. Usipofanya maneno mradi tu utaje CCM. We mwenyewe huoni kama unaumwa.
 
2018 Deo umeingia kivingine ai seee.Nielekeze Mwanza ulipo tuje kumshukuru Mungu pamoja.
 
hv yule jamaa wa bg brother anayetanngaza boxer za kevin hajamuona kule insta, au sisi mamentally ni ruksa kutupia tukiwa na boxer ata kama mkungu unaonekana wazi? maan yawezekana huyu waziri anavutiwa sn na huyu jamaa wa bg broo
 
Back
Top Bottom