TANZIA Naibu Waziri, William Ole Nasha afariki dunia

Watu wa marukanga covid haiwasumbui sana,ingekua hivyo wote wangepukutika...
 
wazazi wana Baraka na laana katika ndimi zao.

kuna kitu hapa

Rip Marehemu 😢
Ana mijengo mikubwa sana Kigamboni. Hela za kutosha, lakini mama yake anaishi maisha ya tabu.

Mama yake anaishi kwenye nyumba ya udongo, kunguni na chawa ni sehemu ya maisha yake.

Alishawahi kupelekwa Seliani kwa tatizo la Utapiamlo.

Maisha ya tabu. Huwezi kudhania ana mtoto naibu Waziri.

Ni aibu!.
 
Roho mbaya iko ccm tena roho mbaya kuliko ya shetani,huruma yako peleka lumumba...ccm wauaji halafu unataka waonewe huruma ili iweje dawa ya moto ni moto
 
Kwanini kila kifo mtu anakurupuku na kusema hakuchanja huyo
Kama chanjo inazuia KIFO kwanini hamchanji sasa?

Na je kwanini iwe corona tu
Hata ukijikwaa tu unaweza kufa
Malaria watu wanakufa na ukimwi je
Vipi Cancer
 
Pumzika kwa amani mwana mwema wa mama Tanganyika. Umeondoka mapema sana! Vous allez nous manquer!
 
akilinene
 
"umeoteshwa" sio? nani atavuna sasa?
 
Rip William.
 
Aliumwa nini?
Aliugua kwa muda gani?
Alikua Mh mbunge wa kuchaguliwa ama wa kuteuliwa?
Ebu mwenye historia yake akuje hapa mbele kwanza.
R.i.P Naibu waziri
1.Aliugua ini na kisukari
2.Mbunge wa kuchaguliwa jumbo la NGORONGORO
3.Alikuwa mjumbe wa bunge la katiba kupitia asasi za kiraia.
4.2015 akagombea ubunge
2015 Magufuli akamteua kuwa Naibu waziri wa Uvuvi,badae Elimu
2020 Naibu waziri mambo ya nje
2021 Naibu waziri Ofisi ya waziri mkuu uwekezaji
Kitaaluma ni mwanasheria.
 
Kumbe amezitafunatafuna kodi zetu eeh.....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…