TANZIA Naibu Waziri, William Ole Nasha afariki dunia

TANZIA Naibu Waziri, William Ole Nasha afariki dunia

Mawazo ya kimaskini kitoka kwa mashiki wa akili, magufuli aliwaharibu sana nyie wajinga, wakati huo mnazitaka ARV kwa nguvu sana na mkizikosa mnalia lia sasa kwani hizo zinatengenezwa kwa mtogole?
Mawazo ya kimaskini kitoka kwa mashiki wa akili, magufuli aliwaharibu sana nyie wajinga, wakati huo mnazitaka ARV kwa nguvu sana na mkizikosa mnalia lia sasa kwani hizo zinatengenezwa kwa mtogole?
Mawazo ya kimasikini mbona unakimbilia kupinga mawazo ya mwenzako? kwa hiyo kama chanjo zina matatizo siruhusiwi kutoa maoni yangu? Na hao wazungu unaowatetea kama kweli wangekuwa na nia ya dhati basi wangekwisha kutuletea chanjo ya malaria maana ndio inaongoza kuua tofouti na hii corona ambayo kwetu ni kama mafua tu.
 
Hao ndio wale wahuni waliopita bila kupingwa.
Kumbe wangepingwa wasingekufa? Kwahiyo na wengine woote waliokufa hiyo tarehe nao walipita sehemu bila kupingwa sio?

Kifo cha mtu hakiwezi kuwa sababu ya kujifariji juu ya magumu yako,labda kama wewe ungekuwa ni immortal.

Basi tafuta wakukupinga ili usife.
 
Umeshaangalia picha ya ukumbini pale ni nani alikuwa anasikiliza? kama hujaiona nibipu nikuletee.
Kama ni illegal usi iweke hapa. Lakini kama haina matatizo tuwekee hapa.
===
R.I.P Ndugu William Ole Nasha. (Naibu Waziri kwenye mambo ya uwekezaji).
 
Kumbe wangepingwa wasingekufa? Kwahiyo na wengine woote waliokufa hiyo tarehe nao walipita sehemu bila kupingwa sio?

Kifo cha mtu hakiwezi kuwa sababu ya kujifariji juu ya magumu yako,labda kama wewe ungekuwa ni immortal.

Basi tafuta wakukupinga ili usife.

Hayawani yoyote akifa ni sherehe. Hutaki unaacha.
 
Mawazo ya kimaskini kitoka kwa mashiki wa akili, magufuli aliwaharibu sana nyie wajinga, wakati huo mnazitaka ARV kwa nguvu sana na mkizikosa mnalia lia sasa kwani hizo zinatengenezwa kwa mtogole?
Na ujiandae pyschologically maana chanjo ya J&J ambayo mmeaminishwa inatoa kinga kwa muda mfupi tu hivyo basi kama ulikuwa ukitumia mbaazi jua kwamba uviko 19 bado itakuandama tu hata kama umepata chanjo ya J&J
 
Wewe chige wewe!!
Hivi nimefanya nini....

Kama ndoto zinaletwa na Mungu, basi tumnange Mungu...

Kama ndoto zinaletwa na shetani, basi tumlaani shetani!!

Kama ndoto zinaletwa na XYZ, basi tuwasemange akina XYZ lakini sio mimi....
 
Taifa linahitaji maombi na toba...haki huinua taifa. Kuna vitu tunawezafanya kama binadam lakini Mungu huonyesha kwamba yeye ndio mwamuzi wa haki.

Jawabu la mwisho hutoka kwake. Mnaweza kuiba kura, kuhadaa watu, kuficha mambo mengi tu, lakini yeye aonae sirini hufichua.

Taifa linahitaji maombi. Nafikiri watu hiyo ndoto yako ni wito wa kuliombea taifa.
 
Basi tupige magoti chini na TUOMBE...

Au bila shaka tuombe huku tukiwajibika kwa kile tutakacho...
 
lakini si alichanja au nayeye alikua kwenye kundi moja na sisi tulio chagua laah
Hey guys I just found out I have COVID, trust me you don’t want this," Rock tweeted. "Get vaccinated."

Rock, 56, previously received the Johnson & Johnson COVID vaccine,
 
Mkuu acha uongo Hana mke mzungu mkwe wake ni binti mdogo amekuwa jirani yangu kwa miaka mingi pamoja na kuwa pamoja kupiga vyombo sinza kabla hajaaamia kwake kigamboni na kuwa mbunge
Unamfahamu marehemu au unamjua tu?

Unamzungumzia huyo Mchagga? Unafahamu alishakuwa na mpare baadae akamuibia na kukimbia?

Unafahamu kabla hajaula na kuwa Ole Nasha unayemfahamu, alikuwa na mke mzungu aliyekuwa akimfanikisha katika kila jambo?

Muda mwingine kuwa na busara tu kunyamaza kama huna ufahamu na mtu.
 
Back
Top Bottom