Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
What if pressure, donu think kuna kusubiri afike Hospital?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu acha uongo Hana mke mzungu mkwe wake ni binti mdogo amekuwa jirani yangu kwa miaka mingi pamoja na kuwa pamoja kupiga vyombo sinza kabla hajaaamia kwake kigamboni na kuwa mbungeUkiwa mgonjwa basi kuwa makini sana na Covod 19. Chukua tahadhari zote muhimu.
Jamaa alikuwa na Ngwengwe. Afya yake ni dhoofu, naona wimbi la tatu limeamua tu kummalizia.
Poleni sana. Lakini pia, msisahau kutunza wazazi wenu. Wana baraka na laana ndani ya ndimi zao.
Mzungu wake sijui atabaki na nani
Maccm huko kuna nini?? Kila kifo ni mbunge, diwani wa ccm.Taarifa za hivi punde ni kuwa Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Mhe. William Ole Nasha amefariki dunia nyumbani kwake Jijini Dodoma.
Marehemu alikuwa Mbunge wa Ngorongoro na amekuwa Naibu Waziri mara 4 katika Wizara tofauti.
Amefariki majira ya saa 4 kasorobo usiku huu.
View attachment 1955155
Ha-makom Ye-nachem etchem be-toch She'ar Avelay Ngorongoro vi-Tanzania [emoji2969][emoji2969]
Yetzer Ha-Tov William Ole Nasha[emoji2969]
Una mengi inaonekana yawekeUkiwa mgonjwa basi kuwa makini sana na Covod 19. Chukua tahadhari zote muhimu.
Jamaa alikuwa na Ngwengwe. Afya yake ni dhoofu, naona wimbi la tatu limeamua tu kummalizia.
Poleni sana. Lakini pia, msisahau kutunza wazazi wenu. Wana baraka na laana ndani ya ndimi zao.
Mzungu wake sijui atabaki na nani
HAWEZI KUWA HUYU....
NARUDIA, HAWEZI KUWA HUYU HATA KIDOGO....
JUZI KUAMKIA HANA NIMEFUNULIWA KWA NJIA YA NDOTO KWAMBA TAIFA LIMEINGIA KWENYE SIMANZI MZITO...
TAIFA LIMEINGIA KWENYE SIMANZI ILIYOFANYA TUPEWE SIKU KADHAA ZA MAOMBOLEZO...
TAIFA LIMEINGIA KWENYE SIMANZI ILIYOSABABISHA MABADILIKO MENGINE YA UONGOZI...
HALAFU MNIAMBIE ETI NI NAIBU WAZIRI?!
NO WAY... SOMETHING IS COMING, I DON'T GIVE A SHIT WHO OR WHEN BUT IT'S COMING!!
ALL IN ALL, REST IN PEACE WILLIAM OLE...
BWANA ALITOA, NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE... AMEEN!!
Kwahiyo kumbe hata ukichanja unaweza kuondoka na wimbo la tatu? Nijuavyo mimi huyu bwana alichanja.Ukiwa mgonjwa basi kuwa makini sana na Covod 19. Chukua tahadhari zote muhimu.
Jamaa alikuwa na Ngwengwe. Afya yake ni dhoofu, naona wimbi la tatu limeamua tu kummalizia.
Poleni sana. Lakini pia, msisahau kutunza wazazi wenu. Wana baraka na laana ndani ya ndimi zao.
Mzungu wake sijui atabaki na nani
Kwan si unapanchi tu Kisha alie karibu ndo linamdondokea Kama ni vifo vya ndotoni. Ungeendelea kulala lazima pia ungepata na maono namna ya huyo mtu kukiepuka kama alivyofanya Godbless Lema akamuonesha kabisa namna ya kukiepuka lkn jamaa akawa kaidiHAWEZI KUWA HUYU....
NARUDIA, HAWEZI KUWA HUYU HATA KIDOGO....
JUZI KUAMKIA HANA NIMEFUNULIWA KWA NJIA YA NDOTO KWAMBA TAIFA LIMEINGIA KWENYE SIMANZI MZITO...
TAIFA LIMEINGIA KWENYE SIMANZI ILIYOFANYA TUPEWE SIKU KADHAA ZA MAOMBOLEZO...
TAIFA LIMEINGIA KWENYE SIMANZI ILIYOSABABISHA MABADILIKO MENGINE YA UONGOZI...
HALAFU MNIAMBIE ETI NI NAIBU WAZIRI?!
NO WAY... SOMETHING IS COMING, I DON'T GIVE A SHIT WHO OR WHEN BUT IT'S COMING!!
ALL IN ALL, REST IN PEACE WILLIAM OLE...
BWANA ALITOA, NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE... AMEEN!!
Yoyote yule,wakati wowote ule, mahala popote pale, bila kujali Hali aliyonayo ni lazima ataiaga dunia.Hivyo usiwawazie wenzako mabaya kwa kujiangalia labda afya yako ni njema kwamba hauwezi kufa.HAWEZI KUWA HUYU....
NARUDIA, HAWEZI KUWA HUYU HATA KIDOGO....
JUZI KUAMKIA HANA NIMEFUNULIWA KWA NJIA YA NDOTO KWAMBA TAIFA LIMEINGIA KWENYE SIMANZI MZITO...
TAIFA LIMEINGIA KWENYE SIMANZI ILIYOFANYA TUPEWE SIKU KADHAA ZA MAOMBOLEZO...
TAIFA LIMEINGIA KWENYE SIMANZI ILIYOSABABISHA MABADILIKO MENGINE YA UONGOZI...
HALAFU MNIAMBIE ETI NI NAIBU WAZIRI?!
NO WAY... SOMETHING IS COMING, I DON'T GIVE A SHIT WHO OR WHEN BUT IT'S COMING!!
ALL IN ALL, REST IN PEACE WILLIAM OLE...
BWANA ALITOA, NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE... AMEEN!!
Itakua ulifunuliwa dera labda mkuuHAWEZI KUWA HUYU....
NARUDIA, HAWEZI KUWA HUYU HATA KIDOGO....
JUZI KUAMKIA HANA NIMEFUNULIWA KWA NJIA YA NDOTO KWAMBA TAIFA LIMEINGIA KWENYE SIMANZI MZITO...
TAIFA LIMEINGIA KWENYE SIMANZI ILIYOFANYA TUPEWE SIKU KADHAA ZA MAOMBOLEZO...
TAIFA LIMEINGIA KWENYE SIMANZI ILIYOSABABISHA MABADILIKO MENGINE YA UONGOZI...
HALAFU MNIAMBIE ETI NI NAIBU WAZIRI?!
NO WAY... SOMETHING IS COMING, I DON'T GIVE A SHIT WHO OR WHEN BUT IT'S COMING!!
ALL IN ALL, REST IN PEACE WILLIAM OLE...
BWANA ALITOA, NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE... AMEEN!!
Kwamba Lema ndo anapangia watu siku za kufa, na anajua namna ya kuepusha wa na vifo?Kwan si unapanchi tu Kisha alie karibu ndo linamdondokea Kama ni vifo vya ndotoni. Ungeendelea kulala lazima pia ungepata na maono namna ya huyo mtu kukiepuka kama alivyofanya Godbless Lema akamuonesha kabisa namna ya kukiepuka lkn jamaa akawa kaidi
HuzuniTaarifa za hivi punde ni kuwa Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Mhe. William Ole Nasha amefariki dunia nyumbani kwake Jijini Dodoma.
Marehemu alikuwa Mbunge wa Ngorongoro na amekuwa Naibu Waziri mara 4 katika Wizara tofauti.
Amefariki majira ya saa 4 kasorobo usiku huu.
View attachment 1955155
Nimemwazia nani mabaya?! Na hayo mabaya nimewazia vipi?! Huoni unge-make sense endapo ungesema "usiamini ndoto" kuliko kusema "usiwazie wenzako mabaya"?Yoyote yule,wakati wowote ule, mahala popote pale, bila kujali Hali aliyonayo ni lazima ataiaga dunia.Hivyo usiwawazie wenzako mabaya kwa kujiangalia labda afya yako ni njema kwamba hauwezi kufa.
Last time I checked, I remember to say "...simanzi iliyofanya TUPEWE siku za maombolezo" but I don't find anywhere niliposema "NIKAPEWA" siku za maombolezo! That having been said, if not ME, then waliopo!!Juzi nilikuwa Bariadi kwenye mgodi mmoja hivi wa Dutwa, kijana mwenye afya zake amefariki kwa kufata ndio duarani. Mwezi wa tano tu hapa nimepoteza rafiki yangu kwa ajari kwahiyo kinakuja kwa namna ya pekee sana.
Si ajabu ukatangulia hata leo na usifanikiwe kupewa hizo siku za mapumziko.
Unajaribu kusema nini hasa?!Itakua ulifunuliwa dera labda mkuu