TANZIA Naibu Waziri, William Ole Nasha afariki dunia

Ukiwa mgonjwa basi kuwa makini sana na Covod 19. Chukua tahadhari zote muhimu.

Jamaa alikuwa na Ngwengwe. Afya yake ni dhoofu, naona wimbi la tatu limeamua tu kummalizia.

Poleni sana. Lakini pia, msisahau kutunza wazazi wenu. Wana baraka na laana ndani ya ndimi zao.

Mzungu wake sijui atabaki na nani
Aiseee,funguka hapo kuhusu Wazazi. Inaonysha unamfahamu vizuri huyu Marehemu nje ndani.
 
Mkuu unaonekana msomi mbona hivi tena ?!!

Pamoja na uhasimu wa siasa zetu hivi kweli hatuna soni kwa nafsi zetu pale tufanyapo uzushi uliopitiliza?!!!

YetzerHaTov
Inasikitisha sana mkuuu, saana. Kuna wakati unaiona komenti unabaki umeshikwa na bumbuazi tu maana hukuwa unategemea kuona kitu km hicho kwakweli sehemu kama hii. Unaishia kumuachia Mungu mkuu.....

Sijui yalipita maelezo kuwa chanjo inaondoa mpaka magonjwa mengine aliyonayo mtu?!!

Sijui yalitolewa maelezo kuwa ukichanja haufi milele?!!

Sijui tunamfahamu sana huyu marehemu historia yake ya afya?!!

Sijui tumeshashuhudia kilichomuua?!!

Tumewapoteza kina Warumi humu, sijui nao kawatoa kafara kwa kitowalazimisha kuchanja?!!

Mkuu ni ukweli kuwa tumechanganyikiwa..........chuki tulizonazo zimepitiliza mno mpaka zinatupelekea katika hali hii ya kusikitisha. Nimeona pia komenti hapo juu ya gwiji wetu humu mwenye washabiki wengi, mjuzi wa mambo mengi na muanzishaji wa threads nyingi sana zinazofikirisha; alichoandika kinasikitisha sana. Kilichobaki tuombeane tu mkuu, hali si hali!!
 
Umeshaangalia picha ya ukumbini pale ni nani alikuwa anasikiliza? kama hujaiona nibipu nikuletee.
Nakuapia, hata hajaangalia. Na hata kama ameangalia basi walipokuwa wanaoneshwa 'mabeberu' ye alikuwa anaangalia pembeni haraka ili asiwaone na hatimae ajipatie uhalali wa kusema alichosema. Ndo tulipofika hapo mkuu. Ukisikia anayekukimbiza anaanza kuporomosha matusi baxi we ongeza mwendo ujue tayari pumzi zinamuishia huyo.....mama aendelee kufanya yake kwa speed zaidi kwani haters wanakuwa mapunguani tu siku baada ya siku.
 
Inasikitisha sana mkuuu, saana. Kuna wakati unaiona komenti unabaki umeshikwa na bumbuazi tu maana hukuwa unategemea kuona kitu km hicho kwakweli sehemu kama hii. Unaishia kumuachia Mungu mkuu.....

Sijui yalipita maelezo kuwa chanjo inaondoa mpaka magonjwa mengine aliyonayo mtu?!!

Sijui yalitolewa maelezo kuwa ukichanja haufi milele?!!

Sijui tunamfahamu sana huyu marehemu historia yake ya afya?!!

Sijui tumeshashuhudia kilichomuua?!!

Tumewapoteza kina Warumi humu, sijui nao kawatoa kafara kwa kitowalazimisha kuchanja?!!

Mkuu ni ukweli kuwa tumechanganyikiwa..........chuki tulizonazo zimepitiliza mno mpaka zinatupelekea katika hali hii ya kusikitisha. Nimeona pia komenti hapo juu ya gwiji wetu humu mwenye washabiki wengi, mjuzi wa mambo mengi na muanzishaji wa threads nyingi sana zinazofikirisha; alichoandika kinasikitisha sana. Kilichobaki tuombeane tu mkuu, hali si hali!!
Hakika inasikitisha sana mkuu...

Kilichobaki tuombeane tu Komredi...hali si hali mkuu wangu...

Yaani we acha tu kaka daaah

Yetzer Ha-Tov

#SiempreJMT
 
Inasikitisha sana mkuuu, saana. Kuna wakati unaiona komenti unabaki umeshikwa na bumbuazi tu maana hukuwa unategemea kuona kitu km hicho kwakweli sehemu kama hii. Unaishia kumuachia Mungu mkuu.....

Sijui yalipita maelezo kuwa chanjo inaondoa mpaka magonjwa mengine aliyonayo mtu?!!

Sijui yalitolewa maelezo kuwa ukichanja haufi milele?!!

Sijui tunamfahamu sana huyu marehemu historia yake ya afya?!!

Sijui tumeshashuhudia kilichomuua?!!

Tumewapoteza kina Warumi humu, sijui nao kawatoa kafara kwa kitowalazimisha kuchanja?!!

Mkuu ni ukweli kuwa tumechanganyikiwa..........chuki tulizonazo zimepitiliza mno mpaka zinatupelekea katika hali hii ya kusikitisha. Nimeona pia komenti hapo juu ya gwiji wetu humu mwenye washabiki wengi, mjuzi wa mambo mengi na muanzishaji wa threads nyingi sana zinazofikirisha; alichoandika kinasikitisha sana. Kilichobaki tuombeane tu mkuu, hali si hali!!
😍
 
Back
Top Bottom