Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
Wimbi la ngapi? Mkuu mbona habari za tanzia daima wewe ndio huposti?Taarifa za hivi punde ni kuwa Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Mhe. William Ole Nasha amefariki dunia nyumbani kwake Jijini Dodoma.
View attachment 1955155
Taarifa kwa kina zinafuata