Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Kati ya Watanzania zaidi ya millioni 60 huenda ni Watanzania laki 5 tu ndio wako tayari kuiondoa madarakani CCM, wengine wapo tu kufuata upepo. Atakayewapa kula siku ya uchaguzi huyo ndiye watampa kula.
0.0001% ya Watanzania ndio wana moja mbili tatu kuhusu Tanzania na siasa .
Ila majority ya Watanzania wako active kuhusu derby ya Simba na Yanga, misimamo ligi kuu, muziki na wasanii.
Kwa ufupi ni kwamba CCM itatawala mpaka ichoke