Wakati mwingine unazungumza na mtu masuala yanaoendelea nchini unakuta hana akijuacho, nimefanya research hii, wengi hawajui yanayoendelea nchini, mfano lile suala la mama kikwete kutaka wenza wa wastaafu kulipwa na wao, niliuliza watu zaidi ya 100 ni wawili tu ndio walikuwa na hizo taarifa katika hao zaidi ya 100, hapa ndio nikaona ugumu wa wadhalimu kutoka madarakani.