usidanganyike dia, tafuta wa kukuliwaza la sivyo utarun crazy, mwenzio yalinikuta tena makubwa kuliko yako, lakini once nilipata faraja mahala pengine mbona ndoa inadumu na ina zaidi ya miaka 12, go out there and find a someone, haitachukua muda kabla hujasahau shida zote.
Jamani wanaume mbona mnatusumbua hivyo? Yaani humu ni wanawake kulalamikia wanume tu, hebu badilikeni bwana mnatutesa wenzenu..
MIAKA NA KUKUA NI VITU VIWILI TOFAUTI
SOMA HAPA...
https://www.jamiiforums.com/mahusia...tofauti-ya-wanaume-na-wavulana-kitabia-4.html
Wanawake kulalamika ni 'hulka'
hata akipata a 'perfect hubby'
kulalamika hakuishi....
hahaaaaaaaa duh! kweli we ni ze big bossKupunguza ni kutafuta sehemu ya kuyaelekeza......
Unatafuta mtu mwenye extra kuzidi ya mumeo...game over....lol
umeonaee yani sie sijui tukoje!!!!!
JF nimeolewa miaka nane iliyopita nikiwa na 21 years old,nimekaa na mme wangu katika ups and down za ndoa ..
Ila mme wangu naona ana mambo mengi ya ujana,dharau na kutojari familia , hakui najaribu kumwelewesha misingi ya ndoa na kumwelewesha pale anapoenda kinyume
lakini inakuwa kazi bure.
Kinachoniuma nadhani nampenda sana mme wangu akinikosea ninaumia hata week nzima siwezi kula ,kulala Napata shida wakati yeye
Anakuwa normal na hana hata muda wa kuomba msamaha.
Nahisi haya mapenzi niliyonayo kwa mme wangu yananiua ama kunipeleka vibaya.
Mtaalam mmoja aliniambia Tatizo langu nina 75% ya penzi kwa mme ,nijaribu kuweka 50/50%
Najitahidi kufanya hivo na ku-ignore yote anayoyafanya ,,mwisho wa siku nashindwa najikuta naendelea kuumia zaidi na kunyongonyea .
Ni mengi anayonikosea.
JF ninawezaje kupunguza haya mapenzi ili niishi kwa Amani?
Nisaidie nakufa siku si zangu..nifundisheni nilipunguze vip hili penzi kwa baba chanja nisiumie
Mama Clea
JF nimeolewa miaka nane iliyopita nikiwa na 21 years old,nimekaa na mme wangu katika ups and down za ndoa ..
in aza weds,unamwambia aka cheat,shauri lako, RussianRussian tumeachana muda sio mrefu maeneo ya Kariakoo,anakuja mmu,mi nasepa.Kupunguza ni kutafuta sehemu ya kuyaelekeza......
Unatafuta mtu mwenye extra kuzidi ya mumeo...game over....lol
Hivi mkuu ule mwongozo wetu hakuna version 2 kwa ajili ya watu kama mama Clea?
Kupunguza ni kutafuta sehemu ya kuyaelekeza......
Unatafuta mtu mwenye extra kuzidi ya mumeo...game over....lol
Unajua dada yangu tatizo ulilo nalo wewe ndilo nililo nalo na mimi kwa mke wangu, Nadhani nikutafute tubadilishane uzoefu na tuangalie the way forward plz ni-PM tu-arrange.
JF ninawezaje kupunguza haya mapenzi ili niishi kwa Amani?
Nisaidie nakufa siku si zangu..nifundisheni nilipunguze vip hili penzi kwa baba chanja nisiumie
Mama Clea
JF nimeolewa miaka nane iliyopita nikiwa na 21 years old,nimekaa na mme wangu katika ups and down za ndoa ..
Ila mme wangu naona ana mambo mengi ya ujana,dharau na kutojari familia , hakui najaribu kumwelewesha misingi ya ndoa na kumwelewesha pale anapoenda kinyume
lakini inakuwa kazi bure.
Kinachoniuma nadhani nampenda sana mme wangu akinikosea ninaumia hata week nzima siwezi kula ,kulala Napata shida wakati yeye
Anakuwa normal na hana hata muda wa kuomba msamaha.
Nahisi haya mapenzi niliyonayo kwa mme wangu yananiua ama kunipeleka vibaya.
Mtaalam mmoja aliniambia Tatizo langu nina 75% ya penzi kwa mme ,nijaribu kuweka 50/50%
Najitahidi kufanya hivo na ku-ignore yote anayoyafanya ,,mwisho wa siku nashindwa najikuta naendelea kuumia zaidi na kunyong'onyea .