mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
HahaHii ripoti ni mwendelezo wa bra bra
REPORT YA CAG kwa Mfumo uliopo ni kama RISALA ya MBEO za MWENGE haina MADHARA YOYOTE kwa WATAWALA NA WAPIGAJI WEWE KAMA UPO KWENYE MFEREJI WA KUIBA WEWE IBATunakaribia kupata report ya C.A.G, kwa aina ya serikali hii report itaonyesha madudu mengi , waliosababisha hayo madudu watahamishwa vituo vya kazi na kusamehewa na hata kuombwa msamaha.
Huku mimi nikiwa nalipa kodi milions of money, hili limekuwa likiniumiza sana yaani nalipa ili wakafurahie maisha wengine, hili linafanya nichukie sana report ya C.A.G huwa sielewi nini hasa lengo la hiyo report ni nini
dont hate the report, hate ambao hawachukui hatua after hiyo reportTunakaribia kupata report ya C.A.G, kwa aina ya serikali hii report itaonyesha madudu mengi , waliosababisha hayo madudu watahamishwa vituo vya kazi na kusamehewa na hata kuombwa msamaha.
Huku mimi nikiwa nalipa kodi milions of money, hili limekuwa likiniumiza sana yaani nalipa ili wakafurahie maisha wengine, hili linafanya nichukie sana report ya C.A.G huwa sielewi nini hasa lengo la hiyo report ni nini
Huku mimi nikiwa nalipa kodi milions of money, hili limekuwa likiniumiza sana yaani nalipa ili wakafurahie maisha wengine, hili linafanya nichukie sana report ya C.A.G huwa sielewi nini hasa lengo la hiyo report ni nini[emoji419][emoji375]Tunakaribia kupata report ya C.A.G, kwa aina ya serikali hii report itaonyesha madudu mengi , waliosababisha hayo madudu watahamishwa vituo vya kazi na kusamehewa na hata kuombwa msamaha.
Huku mimi nikiwa nalipa kodi milions of money, hili limekuwa likiniumiza sana yaani nalipa ili wakafurahie maisha wengine, hili linafanya nichukie sana report ya C.A.G huwa sielewi nini hasa lengo la hiyo report ni nini
Utasikia na hili mkaliangalia, hapo ndio kwisha habari.Wanatoa ripoti wanaanika madudu...mwishowe hakuna hatua inayochukuliwa
Ova
Acha kulalama sio kila hoja ni upigaji,ndio matatizo ya hawa misukule ya Chadema aisee,nionyeshe kwenye ripoti mahali CAG alishaandika neno kuwa huu ni uwiziHuku mimi nikiwa nalipa kodi milions of money, hili limekuwa likiniumiza sana yaani nalipa ili wakafurahie maisha wengine, hili linafanya nichukie sana report ya C.A.G huwa sielewi nini hasa lengo la hiyo report ni nini[emoji419][emoji375]