Indoraptor
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 249
- 506
Labda hilo lingewezekana ingesaidiaUwe una skip ili udondokee Jumanne.
Wewe endelea kuichukia na sisi tunatumia hiyo chiki yako kama fursa ya kitengeneza pesa mkuuNiseme tu tangu nikiwa nasoma siku hii haijawahi kuwa pendwa kwangu. Nilidhani nikimalizana na mambo ya shule nitaanza kuifurahia siku hii ya 'jumatatu' lakini mambo yamekuwa ndivyo sivyo.
Ni siku ambayo kila ikifika jumapili jioni naiwaza itaenda kuanzaje.
Ni siku ambayo nawaza naenda kukutana tena na watu wenye maudhi mengi baada ya kuachana nao kwa siku mbili nyuma
Yote haya nadhani yanatokana na kazi za kuajiriwa. Nimepanga kujipa mwaka mmoja wa kukaa kwenye ajira baada ya hapo nijiajiri labda naweza nikaifurahia sikuu hii
View attachment 1202313
Hahaha, mwenzio huyu.Niseme tu tangu nikiwa nasoma siku hii haijawahi kuwa pendwa kwangu. Nilidhani nikimalizana na mambo ya shule nitaanza kuifurahia siku hii ya 'jumatatu' lakini mambo yamekuwa ndivyo sivyo.
Ni siku ambayo kila ikifika jumapili jioni naiwaza itaenda kuanzaje.
Ni siku ambayo nawaza naenda kukutana tena na watu wenye maudhi mengi baada ya kuachana nao kwa siku mbili nyuma
Yote haya nadhani yanatokana na kazi za kuajiriwa. Nimepanga kujipa mwaka mmoja wa kukaa kwenye ajira baada ya hapo nijiajiri labda naweza nikaifurahia sikuu hii
View attachment 1202313
Huenda ipo pia, lakini kwenye kujiajiri kunakuwa na uhuru zaidiHuko Kwenye Kujiajiri Unahisi Hakuna Hiyo Hali?
Huenda ipo pia, lakini kwenye kujiajiri kunakuwa na uhuru zaidi