Indoraptor
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 249
- 506
- Thread starter
- #21
[emoji3][emoji3][emoji3] hiyo tunaiondoa kwenye hizi jumatatu zingine ngumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3] hiyo tunaiondoa kwenye hizi jumatatu zingine ngumu
Yaan mkuu jumatatu huwa ni kama vile inaaza j'pili jioniMkuu nahisi wewe unaweza kuwa unaipenda kidgo. Kwangu mimi huwa natamani hii siku isingekuwepo kwenye week, Jumatatu ni siku ambayo huwa inaanza mapema sana na inakawia kuisha. Nadhani Jumatatu inakuwaga na masaa mengi zaidi ya siku nyingine zote, na Jumapili huwa na masaa machache kuliko siku nyingine yoyote. I hate Mondays