Mkuu nahisi wewe unaweza kuwa unaipenda kidgo. Kwangu mimi huwa natamani hii siku isingekuwepo kwenye week, Jumatatu ni siku ambayo huwa inaanza mapema sana na inakawia kuisha. Nadhani Jumatatu inakuwaga na masaa mengi zaidi ya siku nyingine zote, na Jumapili huwa na masaa machache kuliko siku nyingine yoyote. I hate Mondays