Naifananisha Brazil na Yanga SC huku South Korea ikiwa ni Zaalan FC kwa kinachoendelea

Naifananisha Brazil na Yanga SC huku South Korea ikiwa ni Zaalan FC kwa kinachoendelea

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Leo watu wanajipigia tu huku wakiwa wanajisifu kwa kupiga bomu wodi Namba 26 (mochwari) Muhimbili.

Wenye akili wote na tunaojua mpira tunajua timu ya kuishangilia, inayopambana na inaweza kufika mbali na ina 99% ya kufika fainali na hata kuwa mabingwa ni Argentina.
 
Leo Watu wanajipigia tu huku wakiwa Wanajisifu kwa Kupiga Bomu Wodi Namba 26 ( Mochwari ) Muhimbili.

Wenye Akili wote na tunaojua Mpira tunajua Timu ya Kuishangilia, inayopambana na inaweza kufika mbali na ina 99% ya Kufika Fainali na hata kuwa Mabingwa ni Argentina.
Account ile nyingine ina tatizo gani mkuu popoma?
 
Leo watu wanajipigia tu huku wakiwa wanajisifu kwa kupiga bomu wodi Namba 26 (mochwari) Muhimbili.

Wenye akili wote na tunaojua mpira tunajua timu ya kuishangilia, inayopambana na inaweza kufika mbali na ina 99% ya kufika fainali na hata kuwa mabingwa ni Argentina.
Ufaransa ndiyo kidume.
 
Mpira haupo hivo mkuu, hao Korea wamempiga ureno na Cameroon kampiga Brazil.

Kombe la dunia hakuna team dhaifu
 
Back
Top Bottom