MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Account ile nyingine ina tatizo gani mkuu popoma?Leo Watu wanajipigia tu huku wakiwa Wanajisifu kwa Kupiga Bomu Wodi Namba 26 ( Mochwari ) Muhimbili.
Wenye Akili wote na tunaojua Mpira tunajua Timu ya Kuishangilia, inayopambana na inaweza kufika mbali na ina 99% ya Kufika Fainali na hata kuwa Mabingwa ni Argentina.
Nilishawahi kukutangazia hapa JamiiForums kuwa MINOCYCLINE nina Account nyingine zaidi ya hii?Account ile nyingine ina tatizo gani mkuu popoma?
Wewe POPOMA ni sawa na Bi Kidawa GENTAMYCINENilishawahi kukutangazia hapa JamiiForums kuwa MINOCYCLINE nina Account nyingine zaidi ya hii?
Yanga ilishawahi kumshindilia Makolokolo/Mbumbumbu/Malalamiko/Makelele/Kolowizards/Ngada FC 6-0Yanga tokea iundwe ilishawahi shinda 4??
Mwaka gan?Yanga ilishawahi kumshindilia Makolokolo/Mbumbumbu/Malalamiko/Makelele/Kolowizards/Ngada FC 6-0
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Lini na wapi?Yanga ilishawahi kumshindilia Makolokolo/Mbumbumbu/Malalamiko/Makelele/Kolowizards/Ngada FC 6-0
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Tayari ilishakula umeme kitambo! Siyo kwa matusi yale.Account ile nyingine ina tatizo gani mkuu popoma?
Ila ilishawahi shinda 5-0Yanga tokea iundwe ilishawahi shinda 4??
Ufaransa ndiyo kidume.Leo watu wanajipigia tu huku wakiwa wanajisifu kwa kupiga bomu wodi Namba 26 (mochwari) Muhimbili.
Wenye akili wote na tunaojua mpira tunajua timu ya kuishangilia, inayopambana na inaweza kufika mbali na ina 99% ya kufika fainali na hata kuwa mabingwa ni Argentina.
Mwaka gan?Ila ilishawahi shinda 5-0
01 Juni 1968.Maulidi Dilunga-2,Salehe Zimbwe-2 na Kitwana Manara-1.Mwaka gan?
Duh, Babu yangu alikuwa hajazaliwa01 Juni 1968
La haulaaah, kumbe tupo na wajukuu.Duh, Babu yangu alikuwa hajazaliwa
Vitukuu kabisaLa haulaaah, kumbe tupo na wajukuu.