Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Gari za SBT na BF za kawaida mbona una search IST huko Real Motors wakati ndio gari ya kawaida?

Wana gari chache sana. So machaguo machache.
Befoward gari zao nyingi zimezidi kms laki. Zimepauka plus defects kibao
RMJ wana gari nzuri sana hazina mileage kubwa na bei zao nzuri. Wana gari chache ila nzuri. Niliawahi kuagiza IST nilikaa nayo 3 yrs sikubadili spare zaidi ya tyres. Kuna wakala wao yupo ushirika tower lumumba wanaitwa Afritel ndio walinisaidia kuclear pia. Thou kila kitu nililipa mwenyewe.
tangazo umelileta kijanja sana
Toka nianze harakati za kusaka gari mtandaoni kila gari naona ya kawaida yani nikipata gari zuri bhs inakasoro inanikata mzuka. Nimetembelea web zote za kuimport japani ila sijaridhika...
Mkuu hongera kwa mchakato huo na hitaji lako la ushauri. Mimi nina uzoefu wa kutosha kuagiza magari kwa kampuni kadhaa.
Ngoja nikupe maoni yangu kuhusu kampuni za magari.
Miongoni mwa kampuni bora ambazo ukiagiza gari una uhakika wa kupata gari nzuri sana ni:
1. Autorec - hawa wana magari mazuri sana ila bei yao ni shida. Sababu ni kuwa kabla hujauziwa gari inafanyiwa reconditioning, nakuhakikishia gari zao ni used ila ni top. Shida ni hapo ktk bei.
2. Trust - Hawa pia wana magari top quality, ni kama autorec na bei zimechangamka kdg.
3. Real Motors - Hawa wanauza gari nzuri sana, kwa maoni yangu, tofauti na autorec na trust wao hawafanyi reconditioning ila wana point gari nzuri tuu. Hivyo bei zao ni cheaper na quality ni nzuri. Kwa kawaida hawapendi kuwa na gari zaidi ya km 100,000.
Shida yao ni moja tu, customer service sio nzuri yaani hawabembelezi mteja kamwe. Nadhani wanauza magari kwa passion na sio kutafuta pesa.
Ushauri: Kati ya kampuni zote hizo kwa kuangalia bajeti ya mtanzania wa kawaida, Real Motors is the best kwa sababu utapata gari nzuri na bei nzuri, hilo la customer care mtavumiliana.

Kwa bajeti hiyo unapata gari nzuri kabisa bila shida. Hilo la account endelea kufanya process. Kama nilivyosema, tatizo lao kubwa ni customer service ila gari zao ni nzuri befoward na sbt hawatii mguu hapo.Bajeti yangu mimi kwa FOB isizidi 6.5m najua hii kiasi napata IST kali tu