ChaterMaster
JF-Expert Member
- Aug 17, 2009
- 1,623
- 803
SURE MKUU, Beforeward miyeyusho sna wale jamaa, Gari very Low standardBefoward gari zao nyingi zimezidi kms laki. Zimepauka plus defects kibao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SURE MKUU, Beforeward miyeyusho sna wale jamaa, Gari very Low standardBefoward gari zao nyingi zimezidi kms laki. Zimepauka plus defects kibao
KWELI KABSA MZEESbt wanaongoza kwakuwa na gari mbaya
Hii ni SURE THING....!!!! Mimi nimenunua gari kwao mara tatu na sijuti hadi kesho.Mkuu hongera kwa mchakato huo na hitaji lako la ushauri. Mimi nina uzoefu wa kutosha kuagiza magari kwa kampuni kadhaa.
Ngoja nikupe maoni yangu kuhusu kampuni za magari.
Miongoni mwa kampuni bora ambazo ukiagiza gari una uhakika wa kupata gari nzuri sana ni:
1. Autorec - hawa wana magari mazuri sana ila bei yao ni shida. Sababu ni kuwa kabla hujauziwa gari inafanyiwa reconditioning, nakuhakikishia gari zao ni used ila ni top. Shida ni hapo ktk bei.
2. Trust - Hawa pia wana magari top quality, ni kama autorec na bei zimechangamka kdg.
3. Real Motors - Hawa wanauza gari nzuri sana, kwa maoni yangu, tofauti na autorec na trust wao hawafanyi reconditioning ila wana point gari nzuri tuu. Hivyo bei zao ni cheaper na quality ni nzuri. Kwa kawaida hawapendi kuwa na gari zaidi ya km 100,000.
Shida yao ni moja tu, customer service sio nzuri yaani hawabembelezi mteja kamwe. Nadhani wanauza magari kwa passion na sio kutafuta pesa.
Ushauri: Kati ya kampuni zote hizo kwa kuangalia bajeti ya mtanzania wa kawaida, Real Motors is the best kwa sababu utapata gari nzuri na bei nzuri, hilo la customer care mtavumiliana.