Naijutia sh.30000 yangu

Naijutia sh.30000 yangu

Ulamaa Hemed

Senior Member
Joined
Sep 21, 2012
Posts
159
Reaction score
16
Yani hawa HESLB wamekula sh 30000 yangu ya vocha wakati wa kujaza fom za mkopo halafu mkopo wenyewe wameninyima.Naijutia sh.30000 yangu.
 
Kwani unapo lipa pesa ya mtihani ni lazima ufaulu???
Umekosa mkopo kwasababu either hauna vigezo or Budget ilikata, sasa nani wakulaumiwa hapo???
 
Ndugu uwe na imani katika kila jambo unalolifanya mwamini Mungu atakufungulia njia nyingine usiyoijua uenda ni wakat wa kupimwa imani yako husikate tamaa.
 
teh teh daah sicheki kwasababu umekosa mkopo la hasha umenifurahisha kwa hii thread yako. Lakini usikate tamaa jaribu tena mwakani
 
hata mtoto akizaliwa anaweza kufa hata kabla hajaiona vizuri dunia.....pole sana kijana!!!
 
kaka usijali mambo yote yatakaa mkao we jikaze sahau tu hiyo
 
yani hawa heslb wamekula sh 30000 yangu ya vocha wakati wa kujaza fom za mkopo halafu mkopo wenyewe wameninyima.naijutia sh.30000 yangu.

ulifikiri kwenye mashindano wote mtakuwa washindi ndugu, kubali kushindana ni kushinda au kushindwa.
 
Kaishtaki bodi ikuludishie, ilakamuombe Mchungaji Mtikila asimamie kesi yako. ila kama policy yao inasema hawa ludishi pesa basi shukuru kwa mungu wako
 
Back
Top Bottom