Kumbe ayman Zawahir ni mmisri nilikua sijafuatiliasalaam,
mzee wangu unamaanisha nini unapsema baada ya Sadaat kupata ushindi mkubwa kwenye uwanja wa vita? pia Misri iliwahi kutoa watu wawili watata sana ndg Ayman Zawahiri na bwana Sayyid Qutb bila shaka unawafahamu hawa
Mmisri mkuu
DUH,,,,HIZO TEAM ZA MISRI KUTUPIGA 5 NDO SERA YAO,,,WATUPUNGUZIE KIDOGO WAJAMENI.Mzee Wangu Mohammed Said kwanza shikamoo ,pili ahsante kwa kunikumbusha mji huu nami nimewahi kufika hapo 2010 na timu ya Simba niliikuta huko ,ilikua icheze na Haras al hadood ,matokeo 5 - 1
Sent using Jamii Forums mobile app
DUH,,,,HIZO TEAM ZA MISRI KUTUPIGA 5 NDO SERA YAO,,,WATUPUNGUZIE KIDOGO WAJAMENI.
Msaga Sumu,
Maana yangu ni kuwa vita vilikuwa vinawaendea vyema.
Hao ni maarufu ila kwangu mimi mtu mtata kutoka Misri ni
Osama Al Baz.
JokaKuu,..Niliwahi kusoma kuhusu MOHAMED NAGUIB ktk jarida la AFRICA EVENTS.
..hivi waandishi wa jarida lile kama wakina Mlamali bado wanaandika?
Yatakwisha tu haya muda so mrefu.Mzee Wangu Mohammed Said kwanza shikamoo ,pili ahsante kwa kunikumbusha mji huu nami nimewahi kufika hapo 2010 na timu ya Simba niliikuta huko ,ilikua icheze na Haras al hadood ,matokeo 5 - 1
Sent using Jamii Forums mobile app