Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka nini

Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka nini

Wanabodi,

Naanza Bandiko Hili na Declaration, Kisha Naleta Justification

Naomba kuanza kwa declaration of interest, mimi Paskali wa Jeiefu, japo ni mwanachama wa chama cha siasa, hoja zangu ni za kizalendo zaidi kwa nchi yangu na sio za chama changu, ndio maana mtu wa chama kingine, anakishauri chama kingine!. Lengo la declaration hii ni kwa ajili ya manazi wa Chadema waliotamalaki humu JF, ambao ukichangia jambo lolote ambalo hawalipendi, watakushukia kwa kukubeza, kwa vile wewe sio Chadema, mambo ya Chadema, yanakuhusu nini?!, hivyo maneno kama "pilipili usioila inakuwashia nini?" hayawezi kukosekana. Naamini kuna Watanzania wengi kama mimi ambao ni wanachama wa vyama vya siasa, ambao wako very objective kwa maslahi ya taifa wakiwemo wana CCM ambao wangependa kuona, nchi yetu inapata credible opposition, kwa huku Bara, Chadema ndicho chama pekee kilichoonyesha angalau kinaweza, ila baada ya kutokea huyu game changer aliyabadili the political game, Chadema imeporomoka na baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, kama Chadema hawatafanya the right thing now, they are going to be reduced to nothing. Chadema ikifa, sio hasara kwa Chadema na wanachama wa Chadema tuu, ni hasara kwa Taifa na Watanzania kwa ujumla kwa nchi kurejea chini ya mfumo wa chama kimoja which is not good at all kwa majaaliwa ya mustakabali wa taifa letu.
Paskali
Najikumbusha kitu hapa
P
 
SITOCHOKA KUKUPA POLE MZEE PASCAL MAYALLA, UNAKAZI NGUMU SANA KULIKO WATANZANIA WOTE. Umechelewa sana kufanya maamuzi saizi ni jua la Jioni.

Endelea kusifu na kuabudu.
MAGUFULI AMEAHIDI KUTOFANYA MABADILIKO KWENYE NAFASI ZA UTEUZI.

ILA UMEZIDI KUJIDHALILISHA SANA MZEE WANGU P.
 
Tuliposema humu Chadema hawajui wanataka nini, wengi, hamkutuelewa!, kwa matukio yanayoendelea sasa ya wabunge wa viti maalum, naamini sasa baadhi yenu mnaaza kuelewa!.
P
 
Politics is science, inafuata principles of political science, Mbowe alipokea Chadema kikiwa ni chama cha kiharakati, alipaswa aki transform kugeuka chama tawala in waiting. Serikali Kivuli ni government in waiting, ilipaswa kila Waziri akifanya jambo fulani, waziri kivuli ana counters kwa kueleza how wrong the government is wangekuwa Chadema wangefanya nini tofauti but serikali kivuli ya Chadema utaisikia tuu Bungeni but its like it doesn't exist nje ya Bunge.

baada ya Chadema kumpoteza Prof. Kitila Mkumbo, na ZZK, kiukweli kabisa Chadema is totally empty in terms of strategists, hivyo sisi tufanyie majaribio ikulu yetu!.

You can just imagine kama Chadema hii tunayoiona sasa ndio ingepewa nchi ile 2015, hali ingekuwaje?!, si ingekuwa disastrous!

Paskali
Nyaraka hazikuwa na maana ya "kuomba msamaha" kama Zitto alivyoamua kupotosha umma mbele ya Rais.
Na Yericko Nyerere
Mkuu Yericko Nyerere , kwanza hongera kwa andiko zuri, wewe ni mwandishi mzuri, una kipaji cha uandishi, tatizo lako ni dogo tuu, ambalo kwangu naliona kama ndio tatizo kuu la Chadema, kama mngelitatua saa hizi, siku nyingi Chadema ingekuwa Ikulu.

Tatizo lako wewe na wengi wenu ni low IQ, kwa kifupi Chadema ina vilaza sana!. Umeandika bandiko hili refu refu lote kwa ukilaza tuu wa low IQ kushindwa kuona Zitto alisema nini!. Vilaza kama wewe mliotamalaki Chedema ndio mnakifanya Chadema kuendelea kuwa ni chama cha kiharakati badala ya chama tawala in waiting!.

Aliyezungumzia kusameheana kupo ni rais Mama Samia, usimlishe Zitto maneno!. Kama hukumwelewa Zitto, sema tukueleweshe!.

Ukipata nafasi, nunua gazeti la Nipashe la leo, nenda ukurasa wa 7, kuna kitu kinakuhusu.

Jumapili Njema.
P
 
Wanabodi,
Kichwa cha habari cha bandiko hili kinajieleza wazi, hili likiwa ni bandiko la swali, kuwa siku zote huwa nailaumu Chadema kuwa hawajitambui na hawajui wanataka nini!. sasa kesho Chadema wanafanya uchaguzi wa Mwenyekiti, swali ni jee sasa Chadema wanajitambua?, jee wanajua wanataka nini?.Hoja za Bandiko hili Japo Chadema wenyewe hawajikubali na kuukubali ukweli kuwa Chadema hapa kilipofika kama chama kikuu cha upinzani kiko stagnant na graph yake imeanza kushuka kwa kasi ambapo viongozi na wanachama wake wanaojitambua, they are doing the right thing, wengine wanasubiri tuu Bunge livunjwe nao waamue, hivyo wana Chadema kindakindaki wenye misimamo thabiti, walioamua kuifia Chadema, itawabidi wajitambue "Kama Chadema Sasa Wanajitambua, na Wanajua Wanataka Nini, Watabadilika, Lakini Kwa Vile Siku Zote Chadema Huwa Hawajitambui, Sijui Sasa Kama Wanajitambua, Hebu na Tusubiri Tuone!". Hitimisho Nanalizia kwa kusisitiza, Mhe. Mbowe hana tatizo lolote bali amefikia point of his optimum, mwisho wa uwezo wake, he can not do anything more than what he can or what he did due to over staying na kuwa over saturated to the point of saturated solution that can take no more that it can, ila pia naelewa mapenzi ya Watanzania kwa viongozi wao, hata Nyerere asingengatuka mwenyewe ile 1985 hakuna mtu angethubutu kumwambia mzee pumzika, hivyo inawezekana wana Chadema bado wana mapenzi makubwa sana na Mhe. Mbowe, kwenye mustakabali wa uhai, survival na sustainability ya chama, wasiangalie mapenzi, waangalie uwezo, ability na capabilities. Politics is science, inafuata principles of political science, Mbowe alipokea Chadema kikiwa ni chama cha kiharakati, alipaswa aki transform kugeuka chama tawala in waiting. Serikali Kivuli ni government in waiting, ilipaswa kila Waziri akifanya jambo fulani, waziri kivuli ana counters kwa kueleza how wrong the government is wangekuwa Chadema wangefanya nini tofauti but serikali kivuli ya Chadema utaisikia tuu Bungeni but its like it doesn't exist nje ya Bunge. Namalizia Kwa Lile Lile Swali la Msingi, Kama Chadema Sasa Wanajitambua, na Wanajua Wanataka Nini, Watafanya manadiliko, Lakini Kwa Vile Siku Zote Chadema Huwa Hawajitambui!...Then Watamchagua Tena Mhe. Mbowe. Swali Jee Chadema Sasa Wanajitambua na Kujua Wanataka Nini?Au Bado Hawajimbui? Paskali
Miaka 20 sii haba, kama kuna kitu hajafanya, hata akipewa miaka 100 hawezi kufanya kitu.

Ameisha fikia stage ya nashauri Mbowe saturated solution, it can take no more than it can take. Amefikia optimum yake, hawezi kuwa na jipya lolote!.

Namshauri Mbowe, asiwasikilize wale manyumbu waliokusanyika nyumbani kwake leo, akubali yaishe, apishe njia kwa Lissu aki revive Chama, KM mpeni
Heche, VC tafuteni mwanamke.

Chadema itakuwa revived, na Lissu akigombea urais 2025, Watanzania wanaweza kufanya ujinga kama Wamarekani.

P
 
Wanabodi,
Kichwa cha habari cha bandiko hili kinajieleza wazi, hili likiwa ni bandiko la swali, kuwa siku zote huwa nailaumu Chadema kuwa hawajitambui na hawajui wanataka nini!. sasa kesho Chadema wanafanya uchaguzi wa Mwenyekiti, swali ni jee sasa Chadema wanajitambua?, jee wanajua wanataka nini?...

Katika uchaguzi wa kesho wa Mwenyekiti wa Chadema, kama Chadema wanajitambua, watachagua kuishi, lakini kama bado hawajitambui, kama kawaida yao, watachagua kifo!.

Swali ni jee Chadema kuchagua kifo au kuishi?, tusubiri hiyo kesho tuone...

Hoja za Bandiko hili
Japo Chadema wenyewe hawajikubali na kuukubali ukweli kuwa Chadema hapa kilipofika kama chama kikuu cha upinzani kiko stagnant na graph yake imeanza kushuka kwa kasi ambapo viongozi na wanachama wake wanaojitambua, they are doing the right thing, wengine wanasubiri tuu Bunge livunjwe nao waamue, hivyo wana Chadema kindakindaki wenye misimamo thabiti, walioamua kuifia Chadema, itawabidi wajitambue "Kama Chadema Sasa Wanajitambua, na Wanajua Wanataka Nini, Watamchagua Mwambe, Lakini Kwa Vile Siku Zote Chadema Huwa Hawajitambui, Sijui Sasa Kama Wanajitambua, Hebu na Tusubiri Tuone!".

Hitimisho
Namalizia kwa kusisitiza, Mhe. Mbowe hana tatizo lolote bali amefikia point of his optimum, mwisho wa uwezo wake, he can not do anything more than what he can or what he did due to over staying na kuwa over saturated to the point of saturated solution that can take no more that it can, ila pia naelewa mapenzi ya Watanzania kwa viongozi wao, hata Nyerere asingengatuka mwenyewe ile 1985 hakuna mtu angethubutu kumwambia mzee pumzika, hivyo inawezekana wana Chadema bado wana mapenzi makubwa sana na Mhe. Mbowe, kwenye mustakabali wa uhai, survival na sustainability ya chama, wasiangalie mapenzi, waangalie uwezo, ability na capabilities.

Politics is science, inafuata principles of political science, Mbowe alipokea Chadema kikiwa ni chama cha kiharakati, alipaswa aki transform kugeuka chama tawala in waiting. Serikali Kivuli ni government in waiting, ilipaswa kila Waziri akifanya jambo fulani, waziri kivuli ana counters kwa kueleza how wrong the government is wangekuwa Chadema wangefanya nini tofauti but serikali kivuli ya Chadema utaisikia tuu Bungeni but its like it doesn't exist nje ya Bunge.

Namfahamu vizuri Mwambe, huyu sio mwanaharakati ni strategist, baada ya Chadema kumpoteza Prof. Kitila Mkumbo, na ZZK, kiukweli kabisa Chadema is totally empty in terms of strategists, hivyo Mwambe ata i transform Chadema kutoka chama cha kiharakati kukigeuza chama tawala in waiting. Japo umaarufu wa Chadema ni ule uanaharakati wake, chama cha kiharakati kazi yake ni harakati tuu, hakiwezi kwenda Ikulu unless na sisi tufanyie majaribio ikulu yetu!.

You can just imagine kama Chadema hii tunayoiona sasa ndio ingepewa nchi ile 2015, hali ingekuwaje?!, si ingekuwa disastrous, thanks God angalizo hili, limesaidia Elections 2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!

Namalizia Kwa Lile Lile Swali la Msingi, Kama Chadema Sasa Wanajitambua, na Wanajua Wanataka Nini, Watamchagua Lakini Kwa Vile Siku Zote Chadema Huwa Hawajitambui!...Then Watamchagua Tena Mhe. Mbowe. Swali Jee Chadema Sasa Wanajitambua na Kujua Wanataka Nini?Au Bado Hawajimbui?,

Tusubiri Tuone!.

Nawatakia Wana Chadema, Uchaguzi Mwema wa Kuchagua Ama Kuendelea Kuishi Ama Kifo!.

Paskali
Sasa Chadema wanajitambua!, wamezivua zile akili zao za ki nyumbu nyumbu na kuwa na akili za ki binadamu!.
Hongera Chadema kujitambua!
Na nimekubali matokeo
One down, two to go!.
October 2025 ule mbuyu unakwenda chini!.
Usikute Lissu ni mpango wa Mungu kwa Tanzania post '25!.
Mwacheni Mungu aitwe Mungu!.

Pole sana Freeman Mbowe kwa kuondoka kwa aibu ya kukataliwa!.

Hongera Sana Tundu Lissu kwa kuchaguliwa nahodha mpya Chadema, yafanyie kazi mapungufu yako moja ni hili JPM, CCM wakishinda, Freeman Aikaeli Mbowe ni lazima ajiuzulu, amwachie Tundu Lissu. Lissu aache Uanaharakati, aonyeshe Statesmanship

Wish you all the best

P
 
Back
Top Bottom