Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka nini

Najikumbusha kitu hapa
P
 
SITOCHOKA KUKUPA POLE MZEE PASCAL MAYALLA, UNAKAZI NGUMU SANA KULIKO WATANZANIA WOTE. Umechelewa sana kufanya maamuzi saizi ni jua la Jioni.

Endelea kusifu na kuabudu.
MAGUFULI AMEAHIDI KUTOFANYA MABADILIKO KWENYE NAFASI ZA UTEUZI.

ILA UMEZIDI KUJIDHALILISHA SANA MZEE WANGU P.
 
Tuliposema humu Chadema hawajui wanataka nini, wengi, hamkutuelewa!, kwa matukio yanayoendelea sasa ya wabunge wa viti maalum, naamini sasa baadhi yenu mnaaza kuelewa!.
P
 
Nyaraka hazikuwa na maana ya "kuomba msamaha" kama Zitto alivyoamua kupotosha umma mbele ya Rais.
Na Yericko Nyerere
Mkuu Yericko Nyerere , kwanza hongera kwa andiko zuri, wewe ni mwandishi mzuri, una kipaji cha uandishi, tatizo lako ni dogo tuu, ambalo kwangu naliona kama ndio tatizo kuu la Chadema, kama mngelitatua saa hizi, siku nyingi Chadema ingekuwa Ikulu.

Tatizo lako wewe na wengi wenu ni low IQ, kwa kifupi Chadema ina vilaza sana!. Umeandika bandiko hili refu refu lote kwa ukilaza tuu wa low IQ kushindwa kuona Zitto alisema nini!. Vilaza kama wewe mliotamalaki Chedema ndio mnakifanya Chadema kuendelea kuwa ni chama cha kiharakati badala ya chama tawala in waiting!.

Aliyezungumzia kusameheana kupo ni rais Mama Samia, usimlishe Zitto maneno!. Kama hukumwelewa Zitto, sema tukueleweshe!.

Ukipata nafasi, nunua gazeti la Nipashe la leo, nenda ukurasa wa 7, kuna kitu kinakuhusu.

Jumapili Njema.
P
 
Miaka 20 sii haba, kama kuna kitu hajafanya, hata akipewa miaka 100 hawezi kufanya kitu.

Ameisha fikia stage ya nashauri Mbowe saturated solution, it can take no more than it can take. Amefikia optimum yake, hawezi kuwa na jipya lolote!.

Namshauri Mbowe, asiwasikilize wale manyumbu waliokusanyika nyumbani kwake leo, akubali yaishe, apishe njia kwa Lissu aki revive Chama, KM mpeni
Heche, VC tafuteni mwanamke.

Chadema itakuwa revived, na Lissu akigombea urais 2025, Watanzania wanaweza kufanya ujinga kama Wamarekani.

P
 
Sasa Chadema wanajitambua!, wamezivua zile akili zao za ki nyumbu nyumbu na kuwa na akili za ki binadamu!.
Hongera Chadema kujitambua!
Na nimekubali matokeo
One down, two to go!.
October 2025 ule mbuyu unakwenda chini!.
Usikute Lissu ni mpango wa Mungu kwa Tanzania post '25!.
Mwacheni Mungu aitwe Mungu!.

Pole sana Freeman Mbowe kwa kuondoka kwa aibu ya kukataliwa!.

Hongera Sana Tundu Lissu kwa kuchaguliwa nahodha mpya Chadema, yafanyie kazi mapungufu yako moja ni hili JPM, CCM wakishinda, Freeman Aikaeli Mbowe ni lazima ajiuzulu, amwachie Tundu Lissu. Lissu aache Uanaharakati, aonyeshe Statesmanship

Wish you all the best

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…