darautobroker
Member
- Dec 18, 2020
- 35
- 61
Alafu Kuna Hii Nyingine Chukua INATUPWA😆Siku hizi kuna lugha mpaka ya kuuzia magari, inalengeshwa, inavunjwa, kweli duniani huwezi kujua kila kitu.
Gari za kike. Njiani siyo stable kabisa. Zipo kama yebo yebo kila mtu anayoView attachment 3190966
View attachment 3190970
View attachment 3190983
View attachment 3190988
View attachment 3190991
INALENGESHWA🎯 Ama Kweli Njaa-Nuary Ni Sawa Na Kaburi Lisilokuwa Na Mchanga🥱
Bei/Price🏷️👉🏽TSH 18.5M
Call📞+255 747 999 927
TOYOTA HARRIER
Year: 2003
Engine: 2360Cc
Mileage: 72,000+
Transmission: AUTO
✅Moonroof
✅Well-Maintained
✅Exchange Possible
#toyotaharrier
#darautobroker
#showroominayotembea
mkuu kulengeshwa ni nini? na kuvunjwa ni nini? nitoe ushambaUnajua maana ya kulengeshwa? Hiyo siyo bei ya kulengeshwa. Mlengaji hanunui kwa bei hiyo. Hiyo gari INAUZWA.
Jitaidi Sana Kwenye Maisha Isiwe Na Dhihaka Na Kazi Za Watu Sio Kitu Kizuri.12 nimwelekeze fundi aje kesho aende nayo mpaka bagamoyo tu tumalizane.
Kama Harrier Kama Iyo Zenye Usajili Wa DJ, DK, DN Watu Tunauza Hadi TSH 22, Sembuse Gari Kali Ya Kufungwa Iyo Tena Yenye BESELA a.k.a Sunroof?Unajua maana ya kulengeshwa? Hiyo siyo bei ya kulengeshwa. Mlengaji hanunui kwa bei hiyo. Hiyo gari INAUZWA.
Haina Kipengele Chochote Mzee Gari Imekaza Hata Kama Ukiwa Uko Mkoani Nakuletea VizuriKiongozi, ebu funguka. Lina kipengele gani zaidi ya bonet io
Ukute Hapo Hata Passo Hujawahi KununuaGari za kike. Njiani siyo stable kabisa. Zipo kama yebo yebo kila mtu anayo
Sijawahi miliki gari za watotot na wanawake tu, mi nimebarikiwa namili ndinga kali kali zile za kiume! Yaani gari ka harrier yaani unaweza enda nayo kwenye tukio yaani unakuta kila mtu anayo ka yako so kuitambua ina kuwa kazi kweli kweli.Ukute Hapo Hata Passo Hujawahi Kununua
Kwenye milage ndo kuna uongo kwanini mnachokonoa hizo odi mita huo ni uhuni.View attachment 3190966
View attachment 3190970
View attachment 3190983
View attachment 3190988
View attachment 3190991
INALENGESHWA[emoji457] Ama Kweli Njaa-Nuary Ni Sawa Na Kaburi Lisilokuwa Na Mchanga🥱
Bei/Price[emoji2531][emoji1428]TSH 18.5M
Call[emoji338]+255 747 999 927
TOYOTA HARRIER
Year: 2003
Engine: 2360Cc
Mileage: 72,000+
Transmission: AUTO
[emoji736]Moonroof
[emoji736]Well-Maintained
[emoji736]Exchange Possible
#toyotaharrier
#darautobroker
#showroominayotembea