Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Kulengesha maana yake nini?Unajua maana ya kulengeshwa? Hiyo siyo bei ya kulengeshwa. Mlengaji hanunui kwa bei hiyo. Hiyo gari INAUZWA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulengesha maana yake nini?Unajua maana ya kulengeshwa? Hiyo siyo bei ya kulengeshwa. Mlengaji hanunui kwa bei hiyo. Hiyo gari INAUZWA.
Kwa kuongezea katika hiyo miaka 22 kwa siku imekuwa ikitembea miles 9Gari mkongwe wa miaka 22 na mileage 72,000+ hiyo + niongeze mwenyewe maili au utaweka uhalisia?
Hebu tuwe wakweli kwenye biashara
Ongeza na hiiKwa kuongezea katika hiyo miaka 22 kwa siku imekuwa ikitembea miles 9
Nimeiona leo asubuhi maeneo ya sinza wanyama nimemsimamisha aliyekuwa anaiendesha kisha nikapiga naye story kumuuliza bei akanipa bei ya kuuza mbona wewe mleta mada umeongeza bei mara mbili zaidi.View attachment 3190966
View attachment 3190970
View attachment 3190983
View attachment 3190988
View attachment 3190991
INALENGESHWA🎯 Ama Kweli Njaa-Nuary Ni Sawa Na Kaburi Lisilokuwa Na Mchanga🥱
Bei/Price🏷️👉🏽TSH 18.5M
Call📞+255 747 999 927
TOYOTA HARRIER
Year: 2003
Engine: 2360Cc
Mileage: 72,000+
Transmission: AUTO
✅Moonroof
✅Well-Maintained
✅Exchange Possible
#toyotaharrier
#darautobroker
#showroominayotembea
hizo ndo bei zake, we unasema unailengesha😀View attachment 3190966
View attachment 3190970
View attachment 3190983
View attachment 3190988
View attachment 3190991
INALENGESHWA🎯 Ama Kweli Njaa-Nuary Ni Sawa Na Kaburi Lisilokuwa Na Mchanga🥱
Bei/Price🏷️👉🏽TSH 18.5M
Call📞+255 747 999 927
TOYOTA HARRIER
Year: 2003
Engine: 2360Cc
Mileage: 72,000+
Transmission: AUTO
✅Moonroof
✅Well-Maintained
✅Exchange Possible
#toyotaharrier
#darautobroker
#showroominayotembea
true kabisa, hizo ndo bei zakeUnajua maana ya kulengeshwa? Hiyo siyo bei ya kulengeshwa. Mlengaji hanunui kwa bei hiyo. Hiyo gari INAUZWA.
Manaake kama alikua anatokea mwenge kwenda poster akifika poster anaipaki na kurudi kwa mguu ndo mile 9.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wa bongo buana kila jambo kuna uhuni na wizi wizi wa namnaKwa kuongezea katika hiyo miaka 22 kwa siku imekuwa ikitembea miles 9
Ona Aibu. Kwaiyo Ulinisimamisha Tukazungumza?😆Nimeiona leo asubuhi maeneo ya sinza wanyama nimemsimamisha aliyekuwa anaiendesha kisha nikapiga naye story kumuuliza bei akanipa bei ya kuuza mbona wewe mleta mada umeongeza bei mara mbili zaidi.
Ona Aibu. Kwaiyo Ulinisimamisha Tukazungumza?
Siyo wewe uliyekuwa unaendesha ni mwenye gari lake ndio alinipa bei.Ona Aibu. Kwaiyo Ulinisimamisha Tukazungumza?😆
Kwa uandishi wako huu, hata Boda ya kwako mwenyewe hujawahi kununua,; Acha wanaume waendeshe magari wanayopendaGari za kike. Njiani siyo stable kabisa. Zipo kama yebo yebo kila mtu anayo
Shida umerudisha sana Kilometer nyuma... Wenzako wanaandikaga hata 180,000km maana kidogo inakaribia uhalisia wa kilometer 260,000... Mnatutia sana hasara nyie wauza magari hapa mjini. Na jamaa yenu anayerudisha kilometer nyuma pale round about ya Mlimani City...View attachment 3190966
View attachment 3190970
View attachment 3190983
View attachment 3190988
View attachment 3190991
INALENGESHWA🎯 Ama Kweli Njaa-Nuary Ni Sawa Na Kaburi Lisilokuwa Na Mchanga🥱
Bei/Price🏷️👉🏽TSH 18.5M
Call📞+255 747 999 927
TOYOTA HARRIER
Year: 2003
Engine: 2360Cc
Mileage: 72,000+
Transmission: AUTO
✅Moonroof
✅Well-Maintained
✅Exchange Possible
#toyotaharrier
#darautobroker
#showroominayotembea
Wanatuumiza sana hawa wazee wa Reverse... ina maana imeagizwa toka Japan ikiwa na 12,000km tu😄😄😄... hawa jamaa banaGari mkongwe wa miaka 22 na mileage 72,000+ hiyo + niongeze mwenyewe maili au utaweka uhalisia?
Hebu tuwe wakweli kwenye biashara
Kufanya biashara na mswahili kazi sanaWanatuumiza sana hawa wazee wa Reverse... ina maana imeagizwa toka Japan ikiwa na 12,000km tu😄😄😄... hawa jamaa bana
Sio Gari Zote Zinachezewa BossKwenye milage ndo kuna uongo kwanini mnachokonoa hizo odi mita huo ni uhuni.