Car4Sale Nailengesha Toyota Harrier - TSH 18,500,000/=

Nimeiona leo asubuhi maeneo ya sinza wanyama nimemsimamisha aliyekuwa anaiendesha kisha nikapiga naye story kumuuliza bei akanipa bei ya kuuza mbona wewe mleta mada umeongeza bei mara mbili zaidi.
 
hizo ndo bei zake, we unasema unailengesha😀
 
Kwa kuongezea katika hiyo miaka 22 kwa siku imekuwa ikitembea miles 9
Manaake kama alikua anatokea mwenge kwenda poster akifika poster anaipaki na kurudi kwa mguu ndo mile 9.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wa bongo buana kila jambo kuna uhuni na wizi wizi wa namna
 
Nimeiona leo asubuhi maeneo ya sinza wanyama nimemsimamisha aliyekuwa anaiendesha kisha nikapiga naye story kumuuliza bei akanipa bei ya kuuza mbona wewe mleta mada umeongeza bei mara mbili zaidi.
Ona Aibu. Kwaiyo Ulinisimamisha Tukazungumza?😆
 
Gari za kike. Njiani siyo stable kabisa. Zipo kama yebo yebo kila mtu anayo
Kwa uandishi wako huu, hata Boda ya kwako mwenyewe hujawahi kununua,; Acha wanaume waendeshe magari wanayopenda
 
Shida umerudisha sana Kilometer nyuma... Wenzako wanaandikaga hata 180,000km maana kidogo inakaribia uhalisia wa kilometer 260,000... Mnatutia sana hasara nyie wauza magari hapa mjini. Na jamaa yenu anayerudisha kilometer nyuma pale round about ya Mlimani City...
 
Gari mkongwe wa miaka 22 na mileage 72,000+ hiyo + niongeze mwenyewe maili au utaweka uhalisia?
Hebu tuwe wakweli kwenye biashara
Wanatuumiza sana hawa wazee wa Reverse... ina maana imeagizwa toka Japan ikiwa na 12,000km tu😄😄😄... hawa jamaa bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…