Naingia kulima kahawa Makete

Naingia kulima kahawa Makete

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
704
Reaction score
2,435
Hapa wahaya, wanyakyusa na wachaga, wanyiha, wangoni nk nipeni experience ya kilimo cha kahawa , naingia makete serious kulima kahawa, soko la kahawa ni uhakika, though bei zinapanda na kushuka kutegemea msimu na msimu, kipi kigumu kwenye kilimo cha kahawa
 
Siyo mahindi hayo. Kwamba utavuna kesho kutwa
 
Nimebahatika kupita makete mwezi w pili nao saizi wameanza kulima maparachichi wanangoa kahawa. Kijiji cha bulongwa.kule mm najua ngano ndio pahala pake. Tulikuta ndio wanavuna tulikula yale mamikate yao ilikua poa sana.
 
Wanangoa miti ya zamani , wanapanda mbegu mpya za miaka miwili
 
Wachaga wanang'oa kahawa wanaendelea kukomaa na migomba Yao.
 
Kahawa nenda mbinga utafurahi.
 
Back
Top Bottom