mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Nimejipanga bro, kama nimeweza parachichi nashindwje kahawa inayo anza kutoa matunda ndani ya miaka miwiliSiyo mahindi hayo. Kwamba utavuna kesho kutwa
Kila la heriNimejipanga bro, kama nimeweza parachichi nashindwje kahawa inayo anza kutoa matunda ndani ya miaka miwili
Wanangoa miti ya zamani , wanapanda mbegu mpya za miaka miwiliNimebahatika kupita makete mwezi w pili nao saizi wameanza kulima maparachichi wanangoa kahawa. Kijiji cha bulongwa.kule mm najua ngano ndio pahala pake. Tulikuta ndio wanavuna tulikula yale mamikate yao ilikua poa sana.
kuna mbegu za miaka miwili za parachichi sio mitatu tenaWanangoa miti ya zamani , wanapanda mbegu mpya za miaka miwili