Naingia kwenye kufuga kuku chotara (Saso)

Kumbuka haya
1.Kuku ili watage wanahitaji chakula lishe nzuri sana ili 50%-60% ya kuku watage mayai kwa siku(huwa hawatagi kuku wote kwa siku)

2.Kuku anakula kwa uzito.yani in kilograms siyo kwa debe.kwa hiyo debe moja la chakula kwa kuku 25 labda ni 4days tu.unaweza walisha mwezi ila hautapata matokeo tarajiwa .

4.Ufugaji siyo shughuli ya kujaribu,ni yakudhamiria na kujipanga.

4.Ukipekela mayai 100 utapata vifaranga around 66 mpaka 70.
5.Tafuta taarifa za watalaamu wa mifugo ili uweze kunufaika na ufugaji.otherwise utatengeneza umaskini zaidi na ugonjwa wa moyo
 
Hiyo namba nne ni uongo, na Kama ilikutokea ujue una tatizo, Kama sio kwenye mayai(hayana mbegu au uliyahifadhi vibaya baada ya kutagwa) au incubator inayotumia Ina tatizo.

Kama mayai yako vizuri incubator(ikiwa inarun under best environment ina uwezo wa kutotolesha kwa asilimia 100.

Kuhusu chakula huenda nilikosea mahesabu lakini kuku wangu wa miezi miwili na nusu wanakula debe moja wiki nzima bila hydroponics Wala funza. Nikieka na hivyo wanakula wiki mbili.
 
Mkuu, je akiwachanja ndui..na ikatokea kumbe awali walichanjwa! Kutakuwa na madhara?
 
Safi sana ndugu... Naamin utafanikiwa ktk hii project yako.... Mana uko open (not selfish) kama wngne ukiomba hata formula ya kuchanganya au kutengeneza chakula atakwambi lipia au ukiomba hata raman ya banda ili na ww ujeng anakunyma..... Jaman ndugu zng vjana wnzang hii safar ya maisha bila kushkana mikon hatuweztoboa kirahisi.... Pia soko la kuku bado ni kubwa sana kwa wachache waliopo ktk sector hii kulimudu.........

Nataman tufunguke na tupeane taarifa au data zote za muhimu ili vijana na jamii kwa ujumla tuwezesonga mbele...
 
NaKUtAKIA kILA La hEri
 
Mkuu, je akiwachanja ndui..na ikatokea kumbe awali walichanjwa! Kutakuwa na madhara?
Jaribu kumuuliza aliyekuulizia kamakweli amechanja. Unaweza kukaa miezi kadhaa ukawachanja kujiridhisha zaidi kama unataka kukaa nao muda mrefu
 
Asante sana na Mimi nitaishi kama wewe . I think siyo vibaya kuiga namna ya kufanikiwa.
 
Ni kuku wangapi hao?
 
Vp kuhusu chanjo na madawa ya kuku?..halafu kuhusu chakula hiyo debe moja na nusu ni makadirio ya chini mno. Mimi binafs ni mfugaji wa kuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…