Naingizaje Tshs 100 kupitia skills hizi

Naingizaje Tshs 100 kupitia skills hizi

Mechanic 97

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2021
Posts
854
Reaction score
1,296
Wakuu napataje Tshs 100k kwa mwezi. Kupitia skills hizi 2d drafting & CAD kwa kuchora michoro ya majengo, mitambo na frontend web development (html, css, JavaScript) kwa kutengeza tovuti za kawaida

Kwa kuzingatia eneo nililopo nipo halmashauri ya mji pia makaa makuu ya mkoa.
 
Unataka kuingiza Tsh 100 itakusaidia nini sasa
 
Inaelekea wewe ni developer. Cha kufanya, tengeneza website yako kisha andika mambo mbalimbali kuhusu ujuzi wako wa HTML, CSS NA JAVASCRIPT. Kwa kufanya hivyo website yako itapata viewers wengi na utapata pesa kupitia Google AdSense, affiliate marketing, NK.
Binafsi nimetengeneza website hii, japokuwa haijaanza kuniingizia pesa 👇.

nchi zetu hizi hazithamini utaalamu, unakuta Dj anaepiga muziki tu kwenye bar za kisasa anaingiza 100k kwa siku moja tu. Ila wataalamu wa mambo magumu wanapitia msoto
 
Inaelekea wewe ni developer. Cha kufanya, tengeneza website yako kisha andika mambo mbalimbali kuhusu ujuzi wako wa HTML, CSS NA JAVASCRIPT. Kwa kufanya hivyo website yako itapata viewers wengi na utapata pesa kupitia Google AdSense, affiliate marketing, NK.
Binafsi nimetengeneza website hii, japokuwa haijaanza kuniingizia pesa [emoji116].

Tatizo bei ya domain name, kuhost na security ndio changamoto nikiwa taka kuhost kupitia bluehost gharama ilikua inakuja kama laki nne hivi.
 
nchi zetu hizi hazithamini utaalamu, unakuta Dj anaepiga muziki tu kwenye bar za kisasa anaingiza 100k kwa siku moja tu. Ila wataalamu wa mambo magumu wanapitia msoto
Sema mtawala wa sasa ndio changamoto. Chawa wanaonekana ni watu muhimu kwa taifa hili
 
Mimi nilianza na Hostinger, bei zao sio kubwa. Kama ukimudu hilo nina imani utatengeneza pesa kupitia website yako.
Mkuu nimekutana pia na hii. Nahisi nayo ni nzuri.
Screenshot_20250224-164030.jpg
 
Tumia akili yako, tafuta wazo mtandao la kushawishi wanafunzi wa chuo...

Kila mwanafunzi alipie huduma kwa sh 1000 kwa mwaka, Ukipata wanafunzi 20000 utainguza mill 29 kwa Mwaka
 
Back
Top Bottom