Naiomba klabu yangu ya Simba imsajili Mudathir Yahya, Azam wameachana naye

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Moja ya viungo punda hapa nchini ni Mudathir Yahya, nimesikia azam wameachana naye, azam wamefanya kosa kubwa sana, Mudathir ni mahiri sana na ana uwezo mkubwa sana wa kuzunguka dimba la chini na la juu, ni afadhali twende na Mudathiri kuliko Mkude au Mzamiru au Nyoni, hao hawana jipya tena,

Mkude majeruhi kila siku kutokana na tabia zake yeye na Dilunga nje ya uwanja ambavyo vinaathiri viwango vyao, nitafurahi sana nikimuona Mudathiri Simba day, CHONDE chonde viongozi wangu, nawaomba sana, niko chini ya miguu yenu,

Tunamhitaji Mudathiri akatoe changamoto mpya kwa akina mkude ambao wameshakuwa maji ya jioni.
 
imetokea mara kadhaa wachezaji wanaotemwa Azam f.c wakija Simba wanawika na kupata mafanikio.
 
huyu utakuta yupo pale singida big stars. sii kibabu pluijm amerudi kunoa timu pale.
ila watz kweli bongo lala, yaani kweli singida big star wamekosa kocha mpaka kuleta kibabu cha miaka 70 [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Makolo wanacho cha miaka 73
 
Makolo wanacho cha miaka 73

🤣 🤣 🤣 🤣 waafrika yaani hatufurukuti kwenye hizi ngozi nyeupe. umenikumbusha siku mja nilikuwa naangalia soccer africa on supersport, journalist mmoja kutoka ivory coast aliiponda federation yao kwa kumuajiri kibabu mmoja kama head coach na kumtosa kolou toure ambaye alionyesha interest ya hiyo position huku wakimwambia kuwa eti aombe position ya assistant. ujinga wa waafrika huo.
 
huyu utakuta yupo pale singida big stars. sii kibabu pluijm amerudi kunoa timu pale.
ila watz kweli bongo lala, yaani kweli singida big star wamekosa kocha mpaka kuleta kibabu cha miaka 70 [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Nchi ya ovyo San na mmiliki wa klbu hyo pia nae Ni shabiki mandaz siku akifukuzwa huo uwazir huo timu inapoteana mapema sna
 
Mbona sureboy alitemwa lakini anang'aa jangwani?
Subiri msimu huu uone atakavyoozea benchi ,atacheza nafasi ya nani pale yanga kwa usajili ule,na hakutemwa azam bali alishinikiza yeye mwenyewe
 
Watu wengine wajinga humu, mm niliwahi kupinga usajili wa Yussuf Mhilu watu wakanitukana sana, Leo yuko wap, huyo Jimmson Mwanuke na Mudathiri nani ana afadhali, Mudathir na Nyoni nani mtu kazi? Mm nimeshauri tu sio lazima ushauri ukubaliwe, azam iliwatema Bocco, kapombe, manula na nyoni wakaja Simba, wamekuwa bora sana na ndivyo itakavyokuwa kwa Mudathiri
 
Azam ya msimu huu inaogopesha mpaka basi! Kama mpaka Mudathir ameachwa, basi inabidi Yanga tujiandae kweli kweli! Ili wakijitahidi sana, wakamate nafasi ya pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…