Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Moja ya viungo punda hapa nchini ni Mudathir Yahya, nimesikia azam wameachana naye, azam wamefanya kosa kubwa sana, Mudathir ni mahiri sana na ana uwezo mkubwa sana wa kuzunguka dimba la chini na la juu, ni afadhali twende na Mudathiri kuliko Mkude au Mzamiru au Nyoni, hao hawana jipya tena,
Mkude majeruhi kila siku kutokana na tabia zake yeye na Dilunga nje ya uwanja ambavyo vinaathiri viwango vyao, nitafurahi sana nikimuona Mudathiri Simba day, CHONDE chonde viongozi wangu, nawaomba sana, niko chini ya miguu yenu,
Tunamhitaji Mudathiri akatoe changamoto mpya kwa akina mkude ambao wameshakuwa maji ya jioni.