Naiomba TAKUKURU imuite kocha wa Singida Black Stars na kumhoji anaweza kuwasaidia kujua nani aliagiza kikosi cha pili kianze leo

Ndomana mwaka huu tukaja na ubaya ubwela.
Yan Kauli ina mana kubwa ..na nakuapia huu mwaka we subiri tu Kuna watu watalia Bora tucheze kimafia Sasa...
Ajabu fountain gate waliopewa mlungula na mbinu za kuikamia Simba , baada ya mechi na Simba, hawajashinda michezo mitatu Hadi Sasa [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Mechi ya yanga na Dodoma Jiji, Dodoma Jiji walipumzisha wachezaji wao 5 wa kikosi cha kwanza na kipa ambaye hajacheza mechi nyingi Tena kipa namba tatu.
 
Yaani kocha apangiwe wachezaji wa kuanza kucheza mechi na shabiki?!!
Maana ya kikosi kipana ni yapi?
Uyanga na Usimba unaharibu mpira wetu Kwa kuziwazia timu zetu.
Vipi wangeshinda SBS?
Mpumbavu.
Kikosi kipana kwa mechi moja tu!!!!!

Mnaandaa mazingira ya Yanga kuchukua ubingwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…