pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
Yan Kauli ina mana kubwa ..na nakuapia huu mwaka we subiri tu Kuna watu watalia Bora tucheze kimafia Sasa...Ndomana mwaka huu tukaja na ubaya ubwela.
Ajabu fountain gate waliopewa mlungula na mbinu za kuikamia Simba , baada ya mechi na Simba, hawajashinda michezo mitatu Hadi Sasa [emoji706][emoji706][emoji706]