Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Nigeria 7- Tanzania 0Ninafahamu fika Taifa stars lazima ifungwe hilo lipo wazi kipigo kipo palepale.
Ila maombi yangu afungwe goli nyingi zaidi , hamna hamna afungwe kuanzia goli 3 na kuendelea.
Asante.
Vipi mkuu umebet?Ninafahamu fika Taifa stars lazima ifungwe hilo lipo wazi kipigo kipo palepale.
Ila maombi yangu afungwe goli nyingi zaidi , hamna hamna afungwe kuanzia goli 3 na kuendelea.
Asante.
Na ikawe hivyo inshaAllah.NIGERIA 5 - 0 TANZANIA
Na ikawe hivyo inshaAllah.Nigeria 7- Tanzania 0
Umenena vyema mkuu.Hao sio taifa stars,ni samuya stars lolote liwakute tu,coz wakishinda utasikia "Mama kafanikisha"
Hapana.Vipi mkuu umebet?
Ameeen.ππππLOLOTE BAYA LIWAKUTE TAIFA STARS
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Wachapwe hata 7 wapumbavu hawa.
Aendelee na nywi nywi zake.Hakika ule uzalendo waliokuwa nao watanzania kwa nchi yao huyu bibi ameupora na kuuweka kwenye kalio.
Mambo ni hovyo kila sehemu.