Naiombea Taifa stars ifungwe goli 3 na kuendelea .Asante

Naiombea Taifa stars ifungwe goli 3 na kuendelea .Asante

Ninafahamu fika Taifa stars lazima ifungwe hilo lipo wazi kipigo kipo palepale.

Ila maombi yangu afungwe goli nyingi zaidi , hamna hamna afungwe kuanzia goli 3 na kuendelea.

Asante.
In Sha Allah, ipigwe bao za kutosha na laana iwe juu ya timu huku viongozi wa serikali walioambatana na timu wapatwe na mabalaa mengi mchanganyiko.
Samia Stars ziiiiiiii………..
 
Nigeria marafiki zetu Hawa kidiplomasia toka enzi za Mwl Nyerere na Nnandi Azikiwe mpk kupewa mtaa Dar Es Salaam, so wanajua Hali tunayopitia saivi km Taifa hvyo watatuhurumia watatupa ht sare au wakitufunga goli 1 au2-1 ili kuwapunguza mdomo wakosoaji serikali/Ccm...
Sema ubaya utakuja wachezaji wao wengi saivi ni wazaliwa wa Ulaya Uingereza ht km wazazi wao Bdo ni wanaijeria weusi mfno Ademola Lookman,Osimhen,yule beki wao kati kapteni nk so Historia km hizo huenda wasizijue na kuzingatia
 
Yeyote anatejifungamanisha na wauaji na wadhulumaji haki, aandamwe na laana katika kila jambo.

Wauaji Stars isifanikiwe kwenda popote, na isijitambulishe kwa jina linaloiunganisha Tanganyika. Ikitaka ijiite Samuya Stars au KMKM Stars, ni sawa.
 
Ninafahamu fika Taifa stars lazima ifungwe hilo lipo wazi kipigo kipo palepale.

Ila maombi yangu afungwe goli nyingi zaidi , hamna hamna afungwe kuanzia goli 3 na kuendelea.

Asante.
Utapata shilongi ngapi kwenye huo mkeka wa kutafuta hela ya Christmas?
 
Refa wa Taifa stars na Nigeria leo ndo yule muarabu wa Mauritania alielaumiwa sn mechi za Simba na Yanga dhidi ya Mamelodi na Berkane, so game is over hapa.
 
IMG_4224.jpeg
 
Yeyote anatejifungamanisha na wauaji na wadhulumaji haki, aandamwe na laana katika kila jambo.

Wauaji Stars isifanikiwe kwenda popote, na isijitambulishe kwa jina linaloiunganisha Tanganyika. Ikitaka ijiite Samuya Stars au KMKM Stars, ni sawa.
Ameen
 
Dk84 Samia stars 1- Nigeria 2 nje kabisa matarajio wengi waliosema atakufa goli 3-0 sijui 5-0, na wakikomaa Tz wanaweza sawazisha mechi ikaisha 2-2...
Ila battle la Bacca against Osimhen ni balaah, kama lile dhidi straika Guinea na Dortmund, Guirassy mechi kufuzu Afcon 2024
 
Back
Top Bottom